Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

In all fairness JK Nyerere was a power monger.........ni kweli hakujilimbikizia maii bali alijilimbikizia mamlaka na ufuasi usiomwelewa........tuache woga wa kumjadili yeye na matendo na maamuzi yake yanayotugharimu leo hii.......kulazimisha kumuenzi tu hakutatupeleka popote

Duuh! Leo kweli hapa kimenuka!?

Mkuu mpaka weye umeamua kushirikiana na Tundu Lissu kuivua nguo maiti ya Baba wa Taifa!¿ Daah¡

Tafadhali kipata fursa Mkuu...tuwekee picha/vivuli hapa vya kumbukumbu za Baba wa Taifa na pia Muheshimiwa Tundu Lissu!

Ahsanta.
 
mi naona Ni vizur kila mtu ajibebe mzigo wake,,,, hawa wa Zanzibar so watu wazuri kabisa wala,,, he mnamfahamu john okello,, mganda aliyepigania mapinduzi ya Zanzibar,,, yeye ndiye chanzo had Zanzibar walisucceed revolution but after revolution,,,,,,,,
 
Nyerere na mapungufu yake yote bado anabaki LEGEND mbele ya macho ya Wabongo hata kama Tundu lisu au Faiza Fozzy wakichonga hadi pumzi yao ya mwisho.
 
Kwa mujibu wa history ya wafia Unyerere na vilaza aka "wasomi"...Nyerere ndo aloleta amani,umoja na mshikamano uliopo nchini,tena yeye peke yake!? Duuh!

Nyerere huyohuyo...pia ndo alowafundisha Watanzania woote Kiswahili na jinsi yakua wamoja na kuheshimiana!? Maana tunakaririshwa yakua kabla ya kuibuka yule Nyerere...ati Watanzania woote walikua hawapendani,na shughuli yao ilikua ni kuvamiana mijini au vijijini na kutoana roho!? Daah!

Pia tunaaminishwa yakua zile enzi Mwalimu...ati hii nchi ilikua imejaa neema na Watanzania woote walikua na uhakika wa chakuka na
maraha tele na mavazi!? Na pia tunaaminishwa yakua ati yule Nyerere alipoondoka madarakani,aliacha nchi ikiwa na neema kubwa mno na functioning industrial/manufacturing complexis all over the country,really!?

Nyerere kwa kifupi alikua ni Rais mbovu kuliko woote waliowahi kutawala nchi hiyo...na ubadhilifu,ufisadi,ukabila,udini,kulindana na pia kuchafuana kisiasa, pamoja na unyama mwangineo woote ufanzikao sasa hapo nchi...basi kwa namna moja amma nyangine yule Nyerere anahusika...yaani hiyo ndo legacy yake alotwachia! Daah!

Ahsanta.

Ninakubaliana na wewe 100% kwamba Nyerere alikuwa Rais mbovu lakini lazima ukubali jamaa alikuwa mjanja kwenye ku manipulate watu. Hamna mtu/kiongozi hapa TZ hadi leo amefanikiwa ku influence watu kama Nyerere naamini angekuwepo sasa hata huyo (Mtundu) Lisu hizo hoja zake angezifanya zionekane carbage.
 
escherencounter.jpg
so what!images1.jpg
 
In all fairness JK Nyerere was a power monger.........ni kweli hakujilimbikizia maii bali alijilimbikizia mamlaka na ufuasi usiomwelewa........tuache woga wa kumjadili yeye na matendo na maamuzi yake yanayotugharimu leo hii.......kulazimisha kumuenzi tu hakutatupeleka popote

Nimeuliza maswali mawili humu JF sijapata jibu.

1) Kwanini muda mfupi tu kabla ya Nyerere kung'atuka Benki Kuu ya Tanzania ilichomwa moto?

Mzee Mwinyi alipochukuwa madaraka hakukuta senti tano ya kigeni, peupe peee. Rejea hotuba ya Mzee Mwinyi ya "Mikuki Miwili", nimeitafuta mtandaoni sijaipata, imefichwa kama ilivyofichwa hati ya Muungano wa Karume na Nyerere.

2) Kwanini muda mfupi tu kabla ya Nyerere kung'atuka Wizara ya Mambo ya ndani ilichomwa moto?
 
Ninakubaliana na wewe 100% kwamba Nyerere alikuwa Rais mbovu lakini lazima ukubali jamaa alikuwa mjanja kwenye ku manipulate watu. Hamna mtu/kiongozi hapa TZ hadi leo amefanikiwa ku influence watu kama Nyerere naamini angekuwepo sasa hata huyo (Mtundu) Lisu hizo hoja zake angezifanya zionekane carbage.

Hakuwa na ujanja, alikuwa ni dikteta katili na haambiliki, ukimpinga amma unapotea amma unashughulikiwa kama alivyofanyiwa Aboud Jumbe, Kassim Hanga, Wolfgan Dourado, Abeid Karume na wengine wengi. Ukiwa salama labda uikimbie nchi, kama Kambona na wengine wengi.
 
ndio maana tunasemaga CCM ni mazuzu tu! LiSSU aliongea facts na ushahidi juu ss mnakuja mazuzu wa ccm mnaanza kusema LISU alimtukana Nyerere! embu mfungulieni mashtaka basi muone km mtashinda hiyo kesi!?
 
Najua watu wanaandika tu kumdiss Lissu sababu ya mkate wa siku lakini moyoni wanakubali he is smart. Bravo Lissu keep going ulielimika ili uelimishe sio walioelimika kupotosha:frusty::frusty:

adi sasa vijana wengi sana waliokuwa wamenyeshwa maji ya bendera ya magamba sasa wametapika na wamejivua magamba lissu amewaelimisha sana 😛eace:
 
ndio maana tunasemaga CCM ni mazuzu tu! LiSSU aliongea facts na ushahidi juu ss mnakuja mazuzu wa ccm mnaanza kusema LISU alimtukana Nyerere! embu mfungulieni mashtaka basi muone km mtashinda hiyo kesi!?

Mkuu,

Mbona shughuli ndo kwanza inaanza, khalaf weye wataka watu wakimbilie mahakamani!? Duuh!

Sasa,huo ushauri wako nafikiri utamfaa zaidi yule kilaza wa Kihehe...yaani mtoto wa nje ya ndoa wa Baba wa Taifa aka Yericko Nyerere!

Ahsanta.
 
Ng'wamapalala,

Uko wapi Mkuu!?

Au na weye waogopa kuitwa "mdini"!? Daah! Usijali hiyo Title imewekwa tu kwa ajili ya watu kama sisi,ambao wenye imani/dini tafauti na yule Baba wa Taifa!?

Acha kungia mitini Mkuu...umelianzisha njoo tuendelee kutoa dose hapa! Tumechoka kuishi na hawa misukule ya Nyerere ndani ya Taifa letu...wanatugharimu sana hawa vilaza!

Rudi jamvini Msukuma mtani wangu wa Usukumani!

Ahsanta sana.
 
Zipapa nani kakupa mamlaka ya kuzungumza kwaniaba ya watanzania.
 
adi sasa vijana wengi sana waliokuwa wamenyeshwa maji ya bendera ya magamba sasa wametapika na wamejivua magamba lissu amewaelimisha sana 😛eace:

Mkuu,

Kwa kifupi yule Tundu Lissu hajasema lolote/chochote kipya! Yaani aluchosema ni marejeo tu ya yaliyosemwa na Watanzania wengi mno tangia enzi zile za Nyerere na mpaka kesho!

Tafauti labda iliyopo....ni kwamba yule Lissu amewavua nguo vijana wake wa Bavicha na Chadema yoote...ambao wao ndo walokua wamejipa wajibu wa ufia Unyerere!

Kijana pekee wa Chadema, ambae labda kiduchu alikua na mitazamo/fikra tafauti na zile sera/siasa za kinyama ni yule ajiiate Ben Saanane!?

Kwahiyo kama pana somo unakhis labda limetolewa na huyo Lissu...basi ni kwa hao vilaza wa Ufipa aka Bavicha...kama vile msukule wa Kihehe Yericko Nyerere,Mag3 na wachovu wangine wa fikra!

Ahsanta.
 
Zipapa nani kakupa mamlaka ya kuzungumza kwaniaba ya watanzania.

Suali hili ndo nilomuuliza yule mfia Unyerere na mdini alokubuhu aka Mwanakijiji...weeks kadhaa zilopita, na akangia mitini mpaka kesho!? Daah!
 
Umepunguza CV ya Judge Joseph Sinde Warioba ongeza Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, Judge wa International Tribunal of Lawa of Sea Humburg Germany, Judge of East African Community, chairman of the Presidential Commission Against Government Corruption aka Warioba Commission

Wakuu, hotuba ya Kamanda Lissu Bungeni jana nina uthubutu wa kusema, tena kwa ujasiri kwamba tangu Tanganyika huru iwepo hatujawahi kushuhudia hotuba kali kama ile. Ni hotuba ya kisomi iliyojaa kila aina ya vielelezo na ushahidi, zaidi ya vielelezo 70 (footnotes), sio mchezo.

Ili kukata mzizi wa fitna nawaomba advocates wa Serikali 2 waje na ushahidi na vielelezo visivyo na shaka kukanusha paper ya Kamanda Lissu na sio kupayukapayuka bila mpango wala hoja za maana. I can see kwanini jamaa wanang'ang'ania Serikali 2 kwa udi na uvumba lakini bahati mbaya kwao kadiri wanavyozidi uking'ang'anizi wao ndivyo wanavyozidi kuharibu na kuachwa uchi wa nyama.

Poleni watetezi wa Serikali 2 ambao mnadhani mna akili na uzalendo kuliko Jaji Joseph Warioba, the former Attorney General of the Republic, Prime Minister and VP; kuliko Dr. Salim A. Salim, the former Minister for Defence, Primer Minister, and OAU Chief; kuliko Judge Brig. Gen. Augustine Ramadhan, the former high ranking member of the People's Armed Forces, NEC Chair, and the Chief Justice of the Supreme Court of the People of Tanzania; kuliko magwiji wengine lukuki waliokuwa wamejazana kwenye Tume ya Warioba. Jengeni hoja mueleweke kama Kamanda Lissu alivyofanya na sio kupayuka kama wendawazimu.

Nilistuka sana kusikia eti Nape Nnauye, W. J. Malecela, na Madabida eti wanazunguka huko na huko "kumjibu" Warioba na timu yake iliyojaa vichwa! Are we serious? Kafulila aliuliza Bungeni, hivi Warioba ni binadamu wa kutukanwa nchi hii? Hata kama alifanya makosa anapaswa kukosolewa kwa staha sio kwa matusi ya dhahiri au ya kificho. Kama kweli ni waungwana, CCM wanapaswa kumwomba msamaha Mzee Warioba na watanzania kwa ujumla.

Nakala: Pasco, Chris Lukosi, et. al.
 
“Baada tu ya Nyerere kung`atuka Benki na Wizara zilivyochomwa moto“ Let say tunaachana na akili ya darasani na kuamua kutumia ya kuzaliwa. Kwa akili yako ya kuzaliwa unadhani ni kwanini alisubiri ang`atuke ndio aagize zichomwe moto?! Alikuwa na mamlaka gani tena juu ya mambo aliyokwisha kabidhi? Na kwanza una uhakika gani? Kama kweli ni yeye alifanya hivyo? Don't assume things, na pia try to feed us with something better and not these Pumbas of yours. You are really good kumpambania umtakaye aonekane yupo sahihi, ila Pambana kwa kutumia njia iliyosahihi. Usituchafulie wazee wetu maana hata wewe hutatufaa ikiwa hujali Feelings zetu WaTz kwa Ropoka Ropoka yako hii Ovyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Dah! kweli Ng'wamapalala nadhani upo sawa kwa kiasi fulani...

cc gombesugu
Mkuu, vipi tena!. Ukweli umekufikia!.

Itabidi unirudishie angalau heshima yangu kiduchu kwa kunipiga madongo bila kuuelewa ukweli ndani ya hoja!.

Kama ujuavyo, huu ni ukumbi la kupashana habari, kuelimishana na kulijenga taifa but remember Moliere once said, "A wise man is superior to any insults which can be put upon him, and the best reply to unseemly behavior is patience and moderation."
 
Ng'wamapalala,

Uko wapi Mkuu!?

Au na weye waogopa kuitwa "mdini"!? Daah! Usijali hiyo Title imewekwa tu kwa ajili ya watu kama sisi,ambao wenye imani/dini tafauti na yule Baba wa Taifa!?

Acha kungia mitini Mkuu...umelianzisha njoo tuendelee kutoa dose hapa! Tumechoka kuishi na hawa misukule ya Nyerere ndani ya Taifa letu...wanatugharimu sana hawa vilaza!

Rudi jamvini Msukuma mtani wangu wa Usukumani!

Ahsanta sana.
Mkuu wangu ndiyo ninaingia kwa sasa. Kama unavyofahamu tena, watoto lazima wavae na wapate chakula mezani. Nilikuwa niko kwenye shughuri za kutafuta visenti ili watoto waishi.

Kwa sasa najaribu kuyapitia mawazo na maoni ya wachangiaji.

Tuko wote.
 
Back
Top Bottom