Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Ndio maana mi sina chama nitamchagua mtu kutokana na sera za Chama chake!
 

Hujitambui, aliekuambia kwamba Nyerere hakuwahi kukosea ni nani?kama alisema uongo ulitaka asemeje?je ulimsikia Lisu vizuri?
 
Weka na kadi yako ya chama tukujue vizuri ukajifie huko ukweli unakuuma fisadi mkubwa wewe.
 
Nyerere angekuwa mkweli azimio la Arusha lingekuwepo likidhibiti wezi, lakini walipolipiga chini kule zanzibar nyerere aliufyata. that means hajawahi kuwa mkweli, kama unabisha nionyeshe ujamaa ulipo.
 
Hujawahi kuwa Chadema. Wewe , mbona unataka umaarufu wa kijinga ? Ukweli lazima usemwe hata kama ni baada ya miaka 50 .....
 


Wewe ni gamba na hujawahi kuwa CHADEMA. Chadema hakuana watu wenye kujitoa ufahamu wa aina yako.Huna jipya,kachukue buku 2 lumumba.
 

Kama tuna wnachama kama ww inabidi tupitishe fagio la chuma. i wounder how cant you filter even a simple logic like this? Ni tusi kusema umekosea? mwl mwenyewe alisa kuna mambo yakijinga yalifanyika and others due to lack of experince and so on lkn si thani kama aliwahi kuainisha nimambo kani ya kijinga aliyokuwa nayasema inaweza kuwa kuwa nihili. Pia inaweza kuwa alilifanya hili kutokana na mazingira ya wakati husika na si lazima lilikuwa sahihi. Lisu kuweka wazi ni njia nzuri yakung'amua mwalimu alikuwa anmaanishanini aliposema ya kijinga.

Please take your kamusi and search " Kijinga" it maygive you moe lights

Nakutakia safari njema
 
Watoto wa mjini wanasema 'Chapa rapa' you are just a ZERO member...
 
Huna lolote wewe Gamba ujawai kuwa chadema kwanza chadema hawana watu wenye akili ya hovyo kama yako wewe utakuwa gamba tu.
 

Ni taifa au Taifa?
 
Watu wengine wa.puu.zi kweli. Alishasema Mzee Warioba "msimtumie Nyerere kama hirizi". Wenye Baba wametulia wewe ilunapiga propaganda za kishenzishenzi hapa!
 
hee? Ukweli umekuwa matusi?
 
Pole ndugu angalia hata buku saba wenzio hawajaja kukusaidia hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga nambari moja! Any way unaweza kutuwekea hapa hayo matusi unayodai Mwl katukanwa?

Na je mwalimu wako ulipokuwa drs la tatu hakukufundisha tusi ni neno la aina gani au nawe uliingia darasani na kutoka kama ilivyo kwa mwigulu.Pole sana ndugu wala siwezi kusema kwaheri kwasababu najua hujawahi kuwa shabiki,mpenzi au mwanachama na hakuna yeyote utakaye mshawishi akubaliane na wewe hata akiwa gamba mwenzio.

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu Ndaku laiti ungelijua ungelikaa kimya,wa buku saba za Lumumba wako kwenye uzi wa yaliyojiri bungeni leo,na kuhusu Nyerere faizafox haingii kukutetea potelea mbali lumumba wakimkasirikia
 
Cdhani kama ushabiki wa matusi na kejeli kweli utatufikisha pale tunapohitaji cha msingi n kujadili hoja humu napo naona kunataka kugeuka sehemu ya mipasho wakati c mahala pake hapa,
Lissu kakosea huo ndio ukweli lazima tukosoane kama tunataka kweli kuendelea mbele kwanza huwezi kudhihaki marehemu vitabu vya dini vinatuongoza kwenye hili ivi kejeli na matusi haya familia yake wanapokeaje???
Mm cna mwelekeo wa chama chochote ila n mwanaharakati ila kwa hili nakosa hamasa ya kuamini vyama vya siasa vina hoja za msingi au wanaangalia fursa tuu kupitia mabunge na mikutano tuu ba inawezekana vichwani na mioyoni mwao wana siri wanazojua wenyewe,
Ukweli lazima uelezwe hoja c matusi na kejeli n kujipanga na kueleza kitu ambacho unaona kinamashiko ya maana.

Tusilete siasa kama za kuku kakatwa kichwa humu lazima kupanga hoja na kushawishi.
 
Mbona povu linawatoka yy kachukia na ameamua kutoka hajawambia nyie mtoke nn kinawauma acheni ushamba mafalasi nyieee
 

Wewe ulifikiri amani inajileta yenyewe? Hizo risasi ndo zimerudisha amani na watu sasa wanaendelea na shughuli zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…