AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
TL ni shujaa wa Taifa,mzee wa ukweli asie mumunya maneno.zimu wa Mwalimu unamtafuna Lissu, haji aitetee nchi yake au mabwana wanaomtuma.
Haya mabomu yanarindima sasa, hata handaki hajui kuchimba!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TL ni shujaa wa Taifa,mzee wa ukweli asie mumunya maneno.zimu wa Mwalimu unamtafuna Lissu, haji aitetee nchi yake au mabwana wanaomtuma.
Haya mabomu yanarindima sasa, hata handaki hajui kuchimba!!
Lissu tapeli mkubwa wa kisiasa kuwahi kutokea TanzaniaTL ni shujaa wa Taifa,mzee wa ukweli asie mumunya maneno.
TL ni mwanaharakati na bado hajapevuka kuwa mwanasiasa mahiri.TL ni shujaa wa Taifa,mzee wa ukweli asie mumunya maneno.
TL ni mwanaharakati na bado hajapevuka kuwa mwanasiasa mahiri.
Matukio yaliyompata pamoja na kuhuzunisha, apate funzo la kimaisha namna ya ku convey the bitter truth.
Ha ha ha, kwa sasa anapumulia mashine huko Nairobi.TL ni shujaa wa Taifa,mzee wa ukweli asie mumunya maneno.
Huyo Ni tapeli mkubwa wa kisiasa. Abaki kudanganya bavicha..TL hana uoga.
..TL ni mtetezi wa haki.
..sifa hizo za TL zinawasumbua sana CCM kiasi cha kumtakia mabaya.
Huyo Ni tapeli mkubwa wa kisiasa. Abaki kudanganya bavicha
..tapeli kuliko yule aliyeuza nyumba za serikali kifisadi?
..au aliyekurupuka kuvunja mikataba na kulisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha?
Ndio ni tapeli zaidi..tapeli kuliko yule aliyeuza nyumba za serikali kifisadi?
..au aliyekurupuka kuvunja mikataba na kulisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha?
Unamcheka mwenzio hujui wewe kesho utakuwa wapiHa ha ha, kwa sasa anapumulia mashine huko Nairobi.
Na kuwading'a mawazir..tapeli kuliko yule aliyeuza nyumba za serikali kifisadi?
..au aliyekurupuka kuvunja mikataba na kulisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha?
Tumia kichwa kufikiriadui wa nyerere mzee mtei atakuwa alimtuma tundu lisu amtukane nyerere
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Lissu is lousy! For what he uttered against our beloved late Father of the Nation.Najua watu wanaandika tu kumdiss Lissu sababu ya mkate wa siku lakini moyoni wanakubali he is smart. Bravo Lissu keep going ulielimika ili uelimishe sio walioelimika kupotosha:frusty::frusty:
Was he an angel ?Lissu is lousy! For what he uttered against our beloved late Father of the Nation.
Mungu hajawahi kughafilika na madhalimu pale wanapo dhulumu. Ni suala la muda tu, itafika zamu yenu ya kuonja ubaya wa matendo yenu zidi ya viumbe wenzenu.Ha ha ha, kwa sasa anapumulia mashine huko Nairobi.