Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

zimu wa Mwalimu unamtafuna Lissu, haji aitetee nchi yake au mabwana wanaomtuma.
Haya mabomu yanarindima sasa, hata handaki hajui kuchimba!!
TL ni shujaa wa Taifa,mzee wa ukweli asie mumunya maneno.
 
TL ni mwanaharakati na bado hajapevuka kuwa mwanasiasa mahiri.
Matukio yaliyompata pamoja na kuhuzunisha, apate funzo la kimaisha namna ya ku convey the bitter truth.


..r u serious?

..yaani unataka kusema mashambulizi ya risasi ni namna ya kuwafundisha waTz aina ya TL jinsi ya kufanya siasa?

..uhuni aliofanyiwa TL ni jambo la kukemewa categorically na siyo kujaribu kuuhalalisha kwa namna yoyote ile.

..Nimemfuatilia TL toka miaka ya 90. Na sioni jambo lolote lile la kisiasa au kiuanaharakati ambalo amelifanya linalohalalisha kushambuliwa kama mnyama pori.
 
Huyo Ni tapeli mkubwa wa kisiasa. Abaki kudanganya bavicha

..tapeli kuliko yule aliyeuza nyumba za serikali kifisadi?

..au aliyekurupuka kuvunja mikataba na kulisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha?
 
..tapeli kuliko yule aliyeuza nyumba za serikali kifisadi?

..au aliyekurupuka kuvunja mikataba na kulisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha?

Kweli hoja. Za CDM. Labda ungesema kwanza kama mkataba huo ilikuwa unatunyonya au hautunyonyi. Na kama unatunyonya huoni uzalendo. Ona Chembe inayopandw watanzania msidanganyike. Yeyote anayetaka Tz iendelee lazima akubali kupambana na mabepari ambao hao wanamsifia Lisuu Leo. Jiulize atawalipa nini. Wtz kama wewe mko so stupid mnadakia tu mambo juu. Nyumba atauza Yeye tu mwenyewe kama Waziri .je Lissu Alipokuja Lowassa upande Wa Pili amefanya nini si kumsifia. Ndo binadamu hao. Heri JPM anaonekana na nia njema na uzalendo. Haya Mapito tu. Afu fanya Kazi. Siasa za kila wakati Afu unataka Maendeleo. Maendeleo yako kwako mwenyewe Lima acha kupiga Majungu
 
Kuna mahali niliandika kuwa tutofautishe uanasheria wa kiharakati na ule uanaharakati wa kisheria
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
 
Najua watu wanaandika tu kumdiss Lissu sababu ya mkate wa siku lakini moyoni wanakubali he is smart. Bravo Lissu keep going ulielimika ili uelimishe sio walioelimika kupotosha:frusty::frusty:
Lissu is lousy! For what he uttered against our beloved late Father of the Nation.
 
Na hauwezi kuwaza kuja kuwa rais wa hii nchi kwa kumdis na kumtukana Nyerere!! Nyerere alitisha bana!!!


sasa Lisu akaanzisha ugomvi na marehemu, aisee
 
Back
Top Bottom