Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Hahahaaa! Kufukia makaburi huku balaa. Ila Jamaa mnansafisha sana. Siamini kama alikosea. Nakumbuka kina clip Mwalimu alikiri kikosea piabktk uongozi wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nyerere ni mungu mpaka asisemwe kama alikoseaDaah watakao mchagua Lisu watakuwa wameshiriki kumkashifu baba wa Taifa.
Muasisi wa Chadema mwenyewe hakuafiki kauli ya Lisu.Huyu nyerere ni mungu mpaka asisemwe kama alikosea
Huyu dogo ujuaji ndio unamponzaDaah watakao mchagua Lisu watakuwa wameshiriki kumkashifu baba wa Taifa.
Unaweza kusema mengine yote lakini tukubaliane tu kuwa, Mwl. Nyerere hakuwa mtu wa kawaida. Historia inabainisha hivyo na wala siyo yeye anayebainisha kwenye historia. Think bigger!.
Mwl. Nyerere hajatukanwa bali ukweli umesemwa labda useme kuwa, ukweli uliosemwa haujazoeleka Tanzania kusemwa!.
Kama muasisi wa CCM ambavyo hakuafiki maendeleo ya vitu badala ya watu kama atakavyo huyu aliyekalia kiti chakeMuasisi wa Chadema mwenyewe hakuafiki kauli ya Lisu.
Tunangoja arudi, na yeye ndio atatambua kuwa andazi si kitumbua.nyerere ni binaadamu tu sio mtakatifu wala malarka ... Lissu alikuwa na Point hapa
Kutokuwa na akili nacho ni kipaji.Hata ukisikiliza hotuba za viongozi wa CCM na serikali wanakubali hilo. Jafo jana tu kasema tokea Uhuru mpaka 2015 kulikuwa na vituo vya afya 70 lakini kutoka 2015 -2020 vimejengwa 90 vya ziada. Kwa tafsiri fupi ni kuwa hata Nyerere hakufanya lolote la maana! Zaidi ya kudanganywa tu kama ndiye baba wa Taifa na mkombozi wetu.
Munapoipongeza pombe yenu inapokuwa ishawalevya mukasema ," tokea tulipopata uhuru.... haijawahi.kutokea blah blah blah. . " . Munamaanisha kuwa Nyerere naye alikuwa msanii tu. Na hata pombe yenu nayo hutamka maneno kama, "Nchi hii ilikuwa ni kama shamba la bibi ama ilikuwa ikiliwa tu"
Nchi zote ambazo zimeendelea zina miundombinu bora.Kama muasisi wa CCM ambavyo hakuafiki maendeleo ya vitu badala ya watu kama atakavyo huyu aliyekalia kiti chake
Wapiga kura wanaangalia vitu vingi na kikubwa ni uzalendo wa mgombea.
Kwa upande wa urais CHADEMA kuna Lazaro Nyalandu na Tundu Lisu wakati ACT wazalendo kuna Benard Membe.
Sisi tunawaheshimu wagombea wetu wote.
Ila ni lazima tuchukue tahadhari dhidi ya Tundu Lissu kwa sababu aliwahi kumsimanga kipenzi cha watanzania, baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere(RIP) kwenye bunge la katiba kwamba alikuwa akiishi kwa uongo.
Kiukweli Tundu Lissu alitukosea sana watanzania na hachaguliki labda atoke hadharani na kutuomba radhi.
Nawatakia Jumatatu yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!