shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Ndio keshaibadili sasa! Mie mwenyewe sikuwahi kuhisi udikteta wa mwalimu, ila jana nimejua nini mwalimu alicho fanya. Hadi TBC wakafanya Yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu Lissu, kwenye ili la kumponda Nyerere, pro-Chadema wapo kimya masikini.
Siyo kweli umeamua kutuwekea maneno kwenye midomoni mwetu.
Kwa kukusaidia tu ufahamu Waislam hawapo chini ya Bakwata.
Bakwata iliundwa na Nyerere kwa kazi maalum.
hiyo hotuba ya lissu tataipata wapi tujisomee
Lissu aendelee kupiga misumari hata kwa waasisi wa taifa hili lakini atumie lugha staha kwa wazee wetu hawa waliofanya mengi kwa taifa hili.
Kuambiwa ukweli ndo kutukana???Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Mimi huwa nadhani wanasheria ni watu wazuri sana katika uwanja wa siasa hasa ukiangalia kwa kutumia darubini katika siasa za nchi za magharibi utakuta kuwa, viongozi wengi wa nchi hizo ni wanasheria na wamefanikiwa/wanafanikiwa katika siasa zao.
Kama hoja yako ni kweli, kwa nini inakuwa tofauti kwa Mh. Tundu Lissu?.
lissu aendelee kupiga misumari hata kwa waasisi wa taifa hili lakini atumie lugha staha kwa wazee wetu hawa waliofanya mengi kwa taifa hili.
Off course kama unajitambua utauliza hati ya ndoa iliko ili ukifika wakati wa mirathi ijulikane kuwa ndoa ilikuwa halali. Nyie mmezoeshwa na CCM kuishi kwa ghilba ndio maana ukweli unapowekwa hadharani mnapaniki.hao waheshimiwa wanapoteza muda wetu wananchi.
Hata kama ndoa haikufungwa kanisani au msikitini, mtoto
aliezaliwa ametimiza miaka 50 mnauliza leo hati ya ndoa
iko wapi.
Nyerere si mungu, naye alisema mwenyewe kuwa alikosea mara nyingi. Tumechoka kuishi kiuongo uongo.
hoja ni kwamba aliyeongea kweli ni JKN au Tl basi! mengine ni ya kusherehesha ili kutengeneza miungu! Kumbuka ukweli mara zote humuweka Mkweli Huru!Mimi nipotoshe ili inisaidie nini?. Mh. Tundu Lissu alianisha mambo manne katika muktadha wa makundi ndani ya CCM na kila jambo lilikuwa na kundi lake. Jambo la nne lilikuwa linamhusu Mwl. Nyerere na siasa za Zanzibar kama nilivyobainisha hapo juu. Jaribu kuangalia video yake ili upate ukweli na kubainisha vizuri ninachokisema.
Lissu hajatumia hiyo Lugha hapo, hebu pitia hotuba yake. Hili kombamwiko la CCM limeamua ku spin maneno ili Lissu aeleweke vibaya. Lissu ameongea facts tupu
jana wamemsifia samuel sita eti ni kiongozi mwenye ueledi mkubwa sana,kisa amesema lisu atamalizia jumatatu kuuza nyago TBC.Pro CHADEMA ni kama Bendera na upepo. kifupi wapowapo tu.
na mwenye kuzoea vya haramu?.Lissu ni mkweli kusema Nyerere ni Dikteta, muongo wala hajakosea.
Ahsante sana! Mkuu umepiga ikulu...huyo jamaa THE BOSS ni mpambe wa MM aka mbunge wa mahakama.Wewe tokea Jamaa yako awe Mbunge wa Mahakama umekuwa hovyo kabisa na inaonesha umepatwa na msongo wa mawazo kabisa.
Wewe ni mfano wa watu ambao wanatenda based on interpretation ya akili za watu wengine.
hemed bin jumaa alikwenda kinyume na matakwa ya alieiunda bakwata,that is why hakuchukua round,alikufa.Ona sasa, wakati wa Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed Bakwata yake ilikuwa sio iliyoundwa na Nyerere, au hamkujua kuwa waislam wote hawako chini ya Bakwata hadi mtu wa Shinyanga alipochaguliwa kwa haki kuiongoza?
Bibi yako Faiza Foxy ndio ameenda mbali zaidi kwa kuweka dharau kuwa Mh Sitta hajakutana na kiongozi wa Waislam, anadai Sitta alikutana na Pengo peke yake, kukutana na Sheikh Simba ni sawa na kutokutana na mtu. Acheni dharau zenu nyie watu wa pwani. Ni sawa na mzee wenu mwingine Mohamed Said anayedai kuwa uhuru wa Tanganyika uliletwa na kikundi fulani cha ma Alwatan wa pale Kariakoo,,, watu wa pwani mnajiskia sana nyie...