Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Muunganooooo .hivi pemba na unguja viliungani vipi....Maana naona tanganyika na zanzibar tu.

Mkuu kwa mantik hiyo ulitakiwa kwanza uanze kujiuliza...je kwa mfano Tanga na Kigoma nazo ziliungana vipi!?

Unaifahamu kiundani history ya hiyo Tanganyika!? Daah!

Ahsanta.
 
Tundu lisu anaona uwongo wa mwl.nyerere2...mbona hasemei uongo wa historia aliyosoma ya watu kutokea kwa nyani? Au wakisema wazungu siyo uongo? Wakat huyu mzee akiwapo hakuna hata paka mmoja aliyethubutu kusema kwa kuogopa kuumbuka, ni uongo huu huu ulitupatia ziwa nyasa, mt.kilimanjaro na kagera. Ule ulikuwa wakat wao yeye leo amefanya nn kama siyo porojo2 na kula pesa za walala hoi.

Mkuu,

Hoja yako ni dhaifu mno na hapa pana Wanajamvi wenye uwezo wa kukujibu kitaaluma kuliko unavyofikiri!

Sasa,tatizo lako unaharibu...khasa hapo unapoanza kutumia lugha za kebehi na matusi kwa kuwaita wenzio ati paka!? Daah!

Jifunze decent interaction skills japo kiduchu...khasa kwenye mijadala kama hii ya kwenye Public Forum/s,au!?

Ahsanta sana.
 
Tumekuwa tukisema kwa miaka mingi sana kwamba nyerere alikuwa bumunda tuu, tunaitwa waislamu. Miaka kadhaa iliyopita miongoni mwa waja wa nyerere wa hapa JF, mmoja wao alisema nyerere ni zaidi ya mandela. Nikamjibu kwa kumwambia kwamba tofauti ya nyerere na mandela ni kwamba, Mandela angezaliwa nchi yoyote duniani, basi angekuwa rais wa nchi hyo. Lakini nyerere asingeweza kuongoza nigeria hata kwa siku tano tuu.

Haya sasa, baba wenu wa taifa huyo.

Mkuu hishma yako!

Umesomeka na Shukran nyingi mno!

Kiduchu kiduchu tu twende nao...na dose inaanza kuwaingia!

Mwenzao Tundu Lissu keshaanza kujitambua na kuona unyama,urongo na unafiki wa yule Nyerere!? Daah!

Ahsanta.
 
Mkuu Kishimbe wa Kishimbe...mbona una-delete posts/comments zako!? Duuh!

Acha woga...funguka tu! Teeeh! Teeh! Teeh!

Wakti ndo huu Mkuu...jitambue! Au unaogopa kuwa msaliti kwa mzimu wa Baba wa Taifa!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeh!

Ahsanta.
 
Nyerere alishakiri si mara moja kuwa kuna mambo mazuri alifanya na mengine mabaya, kwanini sisi tunataka kumfanya yeye ni malaika hakukosea?

Hapo ndo tatizo sasa...kwanini baadhi ya vilaza aka wafia Unyerere wanazuia na kujaribu kukashifu mada au mijadala yeyote yenye kuzungumzia mitazamo au fikra tafauti na zile sera/siasa chafu za kimabavu za yule Nyerere!? Daah!

Legacy chafu ya yule Nyerere...ndo mpaka kesho inazidi kuwatafuna na kuwaangamiza takriban Watanzania woote kwa ujumla!

Sasa,kwanini tusimjadili maovu na unyama wake...ambao hata yeye binafsi aliwahi kukiri hadharani baadhi yake!? Daah!

Ahsanta.
 
Katika hoja yako hii. Je, unakubaliana na Mh. Tundu Lissu anaposema Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu.

Duuh! Teeh! Teeeh! Teeh!

Mkuu,kwa kweli hilo suali ni mgumu mno kwa huyo Mwanajamvi mwenzetu!?...sitarajii kama atakuletea jibu la maana!?

Mie binafsi,hapa hapa jamvini nalishawauliza baadhi ya Wanajamvi tangia jana...suali hilo hilo!...matokeo yake wamengia mitini,na sijawaona tena!? Daah!

Tunashukuru Mkuu kwa uzalendo wako...na kujaribu kutuelimisha sisi wenzio kwa dose za ukweli!

Ahsanta.
 
Kujaribu kunajisi hadhi ya baba wa taifa ili kupata uhalali wa hoja ni akili mufilisi,taratibu watanzania wataelewa kama hoja ni muungano tu,au kuna ajenda nyingine nje ya muungano ,??!!-jk.nyerere-humanist,politician,and thinker !!!-
 
Kujaribu kunajisi hadhi ya baba wa taifa ili kupata uhalali wa hoja ni akili mufilisi,taratibu watanzania wataelewa kama hoja ni muungano tu,au kuna ajenda nyingine nje ya muungano ,??!!-jk.nyerere-humanist,politician,and thinker !!!-

Mkuu mbona unakua defensive,au!?

Sasa hapo unamzungumzia Mkuu Ng'wamapalala au Muheshimiwa Tundu Lissu kiboko ya Bavicha!?

Nafikiri hapa jamvini ulitakiwa uje na hoja zenye mantik au kudadavua hoja ulozikuta za Wanajamvi wangine,au!?

Hizo sweeping statements and/or triangular explanations/excuses...hapa hazitosaidia kitu¡

Ahsanta sana.
 
hata Isack Newton amekosolewa na Law physics zake itakuwa mchonga meno
 
Dunia nzima masuala ya muungano ubabe hutumika...hata marekani hawaruhusu mtu
Ahoji muungano wao sababu ubabe ulituzmika

Kama ubabe ni kitu cha kuimarisha muungano, basi Urusi, Czechslovakia, Yugoslavia zingeendelea kuwepo kwa maana ubabe ulitumika zaidi katika nchi hizo.
 



Here are 19 Life Lessons from the Dalai Lama that he wishes to share with you
The Dalai Lama is regarded as the spiritual leader of Tibet and has spent his life helping people around the world reach happiness and enlightenment. Here are a few life lessons he has to share with all of us
1. Take into account that great LOVE and great ACHIEVEMENTS involve great risk
2. When you lose, don't lose the lesson
3. Follow the Three R's:
- Respect for Self
- Respect for Others
- Responsibility for all your actions
4. Remember that not getting what you want is sometimes a wonderful stroke of luck.
5. Learn the rules, so you know how to break them properly
6. Don't let a little dispute injure a great relationship
7. When you realize you've made a mistake, take immediate steps to correct it.
8. Spend some time alone every day
9. Open your arms to change, but don't give up your values
10. Remember that silence is sometimes the best answer
11. Live a good, honorable life. Then when you get older and think back, you'll be able to enjoy it a second time.
12. A loving atmosphere in your home is the foundation for your life
13. In disagreements with loved ones, deal only with the current situation. Don't bring up the past
14. Share your knowledge. It is a way to achieve immortality
15. Be gentle with the earth
16. Once a year, go some place you've never been before.
17. Remember the best relationship is one in which your LOVE for each other exceeds your NEED for each other
18. Judge your success by what you had to give up in order to get it.
19. Approach love and cooking with reckless abandon

dalai-lama-011.jpg
 
Naona humu kunajadiliwa mabaya tu ya mtu...pamoja na mapungufu ya binadam kuumbiwa nayo but nyerere huyo huyo alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwaunganisha watanzania ma km si yeye na waliomzunguka udini, ukabila ndio ungekuwa wimbo wa taifa ambao sasa ndio unaoimbwa kila siku.....nyerere alijitambua kwanza km anamapungufu km bin adamu sasa huyo Tundu hana mapungufu?....na ukiyataja mapungufu yake kwa wanaomwamini utaambulia matusi...nyerere alisema mazuri yake yachukueni mabaya yake muyaache.R.I.P nyerere
 
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost

Huyu Ni muhuni na mpumbafuu Sana .hivi nyie chagadema mnadhani,hii nchi Ni kutukana,tuu hata Nyerere muasisi anatukanwa?

Hivi Lissu anajifanya ana akili na mwerevu kuzidi Nyerere?

��Chadegongo mmevuka mpaka

Vicent Nyerere unajidhalilisha kushiriki kumtukana Baba yako hiii Ni fedheha
 
Mara nyingi tu hata mimi simwelewielewi ingawa kwa mengi tu namkubali. Hili la kutumia lugha ya kejeli na kudhalilisha kwa Nyerere hakika litamgharimu maana wengi wangali wanamkubali na kumheshimu, mimi nikiwa mmoja wao.

Imefika mahali watanzania wawafahamu kiundan na kwa mabaya na mazuri viongozi wao waliopo na waliopita,historia za kufundishwa shulen si sawa na historia ya kweli ya watu husika na mambo yalivyojiri,rai ni kwamba tufuatilie kwa kusoma references alizotumia Lissu kumchana Nyerere maana yote yako katika maandiko,historia ya darasani ipo ktk namna ya kuwaonyesha kama vile walikuwa malaika ilhali walikuwa na mabaya pamoja na mazuri kadhalika
 
Tundu lisu anaona uwongo wa mwl.nyerere2...mbona hasemei uongo wa historia aliyosoma ya watu kutokea kwa nyani? Au wakisema wazungu siyo uongo? Wakat huyu mzee akiwapo hakuna hata paka mmoja aliyethubutu kusema kwa kuogopa kuumbuka, ni uongo huu huu ulitupatia ziwa nyasa, mt.kilimanjaro na kagera. Ule ulikuwa wakat wao yeye leo amefanya nn kama siyo porojo2 na kula pesa za walala hoi.
haha...fikra biased zitawamaliza na kumaliza taifa..unaamini vipi kuwa Lissue anaamini hiyo ya Manyani..au ndicho kilichoijaza akili yako.
 
Back
Top Bottom