S.N.Jilala
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 540
- 507
Jamaa kawapa mifano halisi bunge lite likatulia,anasema CCM kuwepo kwa katiba mpya Zanzibar ni kunyume kabisa,na kikwete cyo amiri jeshi Zanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyoo kama umemsikiliza kaongea nn sa hv bungen utajua kuwa jamaa ni geneouzSikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.
adui wa nyerere mzee mtei atakuwa alimtuma tundu lisu amtukane nyerere
hv nyerere alikuwa mungu au binaadam......???? Kama binaadam kukosolewa inahitajika......
mkuu sijamsikia embu nipe kidogo.nyoo kama umemsikiliza kaongea nn sa hv bungen utajua kuwa jamaa ni geneouz
Sijawahi hata siju moja kusikia nchi yoyote duniani mfano cuba,china akijitokeza mtu yoyote kwa cheo chake kwa elimu yake au kwa pesa zake akimtukana mwasisi wa taifa lake.....
Namuheshimu sana lisu lakini kwa hilo la kumtukana Mwl JKN kakosea...na sipatii picha angekuwa mwenyekiti ni Makinda au ndugai lisu angetolewa nje ya bunge na kuchukuliwa hatua kali sana sema ni 6 mwoga lisu ana bahati sana....
Baba yangu lisu kuwa makini sana na maneno ya mdomoni mwako...
Acha ipimbi ni lin uliwahi kuwa CHADEMA??? Unafikiri ukibadili ID hatuta kutambua??? Kwenda na unafiki wako kimada wa ccm mkubwa.Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.