Tundu Lissu na Albert Msando yupi ni mtaalamu zaidi wa Sheria?

Albert msando namkubali sana

Mi nafikiri unaposema unamkubali mtu uonyeshe statistics za unayemkubali Vs usiyemkubali. Kwa upande wangu nimeanza kumsikia tundu lissu nimeanza kumsikia mda mrefu. Mf kesi ya Zuma, kesi za Uchaguzi, kesi za uchafuzi wa mazingira Migodin(msoma). Huyo jamaa ndo nimemsikia kesi ya Zitto.
 
Are u among of great thinker. Ni vema ukachangia mada kuliko kuandika kila kinachokuja kichwani .
 
huwezi kupata jibu kwenye kesi ya juzi maana walikuwa wanatetea 'situations' mbili tofauti kiasi sio 'fair' ku'compare'!
 
Watanzania ni watu wajinga sana na ni watu wenye viwango vya chini sana walio wepesi sana kuwa impressed na vitu vidogo vidogo.

mheshimiwa umenitukana hata mimi ambaye sihusiki kwa lolote juu ya ubishani huu!! ungekuwa na akili ungejua ubaya wa generalization,hongera bwana mzungu.
 
Watanzania ni watu wajinga sana na ni watu wenye viwango vya chini sana walio wepesi sana kuwa impressed na vitu vidogo vidogo.

hakika taifa hili lina wapumbavu wengi sana na ndo maana wanasiasa wanatumia upumbavu wa watanzania vizuri sana
 

Kesi ya Zuma yupi?
 
Jacob Zuma. The president of SA.

You know I do not have any idea about the particular case, and you are giving such a dead response,give details please.
thanks in advance
 
Ungelikuwa umemuoa dada yangu, ningelimwambia akunyime kwa mwezi mzima. Yaani ni aibu kuwa na shemeji kama wewe. Heri usikilize huu wimbo tu, uburudike maana naona unaota.......

 
Last edited by a moderator:
wewe ulieanzisha mada hii hujajipanga.na hizo ndo tunaita siasa.sheria sio bongo fleva.
 
Ndugu wanajamvi naona kupata ueledi wa kutafsir na practice ya sheria kati ya wanasheria hao wawili tajwa hapo juu.
wote ni mawakili wazuli na mahakamani one must loose that is a principal but shida ni mchanganyiko usioepukika politics vs law..hii ndo ina msumbua lissu kwa sababu alijua kwamba what cdm did to zzk was constitutionally wrong but akaamua komaa kwa court...but all ar good lawyer
 

Kudos!
 

lissu ni activist kama hellen Kidjo..sio wakili mzuri..anasema zitto ni mbuge wa mahakama coz kashindwa kesi kwake mahakama kutenda haki ni pale anaposhinda...ni mzuri katika kutafuta maandishi na quotqtions..but c mzuri katika legal reasoning at all..anaongea mengi but most of them ni immaterial
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…