Tundu Lissu na Albert Msando yupi ni mtaalamu zaidi wa Sheria?


we kweli wakili
 
Kwa kweli jamaa ameshindwa kutekeleza hata moja ambalo aliahidi, sasa amebakia kuvunja baraza la mawaziri mara kufanya mabadiliko kwa wakuu wa wilaya! inamaana hakuwa makini wakati anawateuwa!!

tundu lissu ni waukweli kamanda.huyu kijana msando tatizo lake ni wa kujikweza ata kesi aliyosimamia ya msaliti zitto asifikiri ni uwezo wake wa uwakili alionao ndio umesababisha msaliti zitto kushinda no!ni sababu picha yenyewe ya hiyo kesi inaonyesha kulikuwa na mkono wa vyombo vya serikali ndani yake au kundi la watu ndani yake walio na uzito serikalini au katika nchi hivyo uwezekano wa kushinda ulionekana dhahiri,lakini asijisifie kwa lolote ndugu msando,yeye ni wakili lakini Mh. lissu is profesion,this is enough.
 
Kuna mambo mengi yanafaa kujadiliwa lakini sijui hapa unatka kujua nini? Wote ni MAWAKILI WASOMI. Tofauti yako wewe ni kwamba unafananisha mtu kwa kutumia kesi ya ZITTO KAMBWE
 
Guys lets be honest, kuna vitu viko so obvious haijalishi historia wala uzuri wako. CDM kubaka katiba yo iko wazi kabisa, na hukumu ya mahakama ilikuwa wazi sana, hata kama wangekuja mawakili maarufu duniani
 

Wakili Msando kesi ya Mteja wake ZZK inaendeleaje Mahakamani?
 
Swali lako jibu lake ni kwamba atakae fanya legal research vizuri ndio atakae tokelezea kwenye kesi vizuri
 
Kamuulize Werema atakujibu!Lissu hata kikwete anamfahamu
 
Tundu ni mwanasheria anayekubalika sehemu yoyote mpaka bungeni nikikumbuka sakata la escrow wakati wa kutunga sheria za kuwaadhibu wahusika spika Anna makinda alikuwa anamtegemea sana Tundu Lissu kwenye sheria kesi ya Lema Arusha ya kuvuliwa ubunge na hii ya leo ya mahakama kuu mafanikio yote yanaonyesha uwezo wa Tundu Lissu kwenye sheria.
 
Watanzania ni watu wajinga sana na ni watu wenye viwango vya chini sana walio wepesi sana kuwa impressed na vitu vidogo vidogo.
Panaweza kuwa na ukweli lakini brother man tujiulize huyu aliyeuliza ana elimu na umri gani?
 
hivi unatumia vigezo gani kuwalinganisha hawa watu?wingi wa kesi zilizosikilizwa ama wingi wa kesi walizoshinda,kwa taarifa tu.kushindwa kwa mwanasheria mahakamani haina maana kuwa huyo mwanasheria ni kilaza,kwa mfano hili la leo la zitto uwezi sema mwanasheria wa zitto ni kilaza eti kwa sababu kashindwa,ni technicalities tu.
 
Msando yupi??? Yule anaye wa manage wasanii ki sheria, mpaka anafikia hatua ya kuwashawishi wasikubali kutumia majina yao kwenye bottle ya share with coke!!! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Msando kaletwa mjini na zitto W. J. Malecela
 
Last edited by a moderator:
Msando ni mtaalamu wa ku post picha za magari instagram

Muda wa KUPITIA makabrasha Hana yeye kakomaa tu na Get angry or get inspired!! Na vigari vyake kucha kutwa kupost! Anashindana na Watu waliozaliwa na golden spoon mdomoni?
 
Itoshe kusema kuwa kiuzoefu na kiubobezi, Wakili Msomi Tundu Antipas Mughwai Lissu ni zaidi ya Wakili Msomi Albert Gabriel Msando. Lakini, wote wanabaki kuwa Mawakili Wasomi wazuri na wa kupigiwa mfano.[/QUOTE]

Nimependa ulivyoconclude maana "neutrality is a sign of intellectual buncraptcy"
 
Mkuu unazungumzia kesi ipi hapo kwenye mfano wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…