Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Ukipata jibu la aliko Ben Saanane utajua kwanini Lema aliondokaHivi Lema kwa nini alikimbia nchi.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata jibu la aliko Ben Saanane utajua kwanini Lema aliondokaHivi Lema kwa nini alikimbia nchi.?
Timu Jiwe baada ya Lema kuwa Hai mnaweweseka ! Tulionya Mapema sana kwamba SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGUKujifurahisha
Niko Mpanda kijiweni ndani ndani Chadema SHIKAMOOOKumekucha
Chadema ni Taasisi kubwa ilio asisiwa na JULIUS...mihimili mikubwa ILISAINITimu Jiwe baada ya Lema kuwa Hai mnaweweseka ! Tulionya Mapema sana kwamba SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU
Wote wanaopenda na wanaotetea haki huwezi kuwa penda kwani upande wako ni WA dhulmaProject iliyobuma.
Wakajipeleka ukimbizini wakidhani kutaibuka wimbi kubwa la watu kikimbia nchi; ikawa kinyume!
Wakaweka masharti ya kurudi: rais atoe tamko la kuwatangaza kama wao wafalme ndipo warudi; SSH kawakaushia, wameamua kujirudisha wenyewe kama wanatoka msalani tu.
Simpendi Kikwete, lakini alikuwa sahihi aliposema: za kuambiwa changanya na zako. Hawa jamaa hawana zao za kuchanganya.
Kesi ya Ben na Lema tofautiUkipata jibu la aliko Ben Saanane utajua kwanini Lema aliondoka
ItakuaKujifurahisha
Lofa mkuu alizikwa Lupaso, mwingine chatrohMalofa hao
Je Lissu anarudi na Dereva wake ambaye ni shahidi muhimu?Hii ndio dondoo niliyoipata kwa siku ya leo , Kwamba hawa Manusura wa Kaburi , wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania , maana ya jambo hili ni kwamba wawili hawa hivi sasa wanazo tiketi mikononi mwao kwa ajili ya kuanza safari za kurejea nchini , na kuhudhuria vikao vya chama chao.
Tuendelee kutega sikio hapahapa JF kwa taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema .
Unalia nini ?Je Lissu anarudi na Dereva wake ambaye ni shahidi muhimu?
Umanusura wa kaburi wa Lema ni Upi?
Au waliokuwa wakimdai walikuwa wamemchimbia kaburi?
Mbona hawa watu tuko tunawasikia kila siku wakiwa huko Club House,Maria Spaces na mijadala yao ni ile ile ya kukashifu na kujadili watu na matusi kama kawaida yao?
Hawana jipya zaidi ni kurudi nyumbani kwao walikozaliwa.
Wazungu wako busy na Putin kuliko waswahili hawa.
Umuhimu wa Lissu kwa wazungu haupo kwa sasa
Sababu Bi Msafari anawafuata na kuwalazimisha waje kuchukua kile alichokuwa akikikatalia Magufuli.
Tanzania kwa sasa inataka wanasiasa wanaochallenge mambo huku wakitoa njia mbadala ya utatuzi.
Siasa za Tanzania hii hazihitaji siasa za uanaharakati bali werevu na upambanuaji wa mambo kama alivyowahi kuwa akifanya Dk Slaa.
Kuja Tanzania kuanza kumlalamikia Magufuli ambaye hayupo haitawajenga kisiasa zaidi ya kuwaporomosha zaidi.
Hatujitaji wanasiasa wenye kufanya siasa kimfumo kwa kuangalia maslahi binafsi zaidi ya kuutumikia umma kwa maslahi mapana ya kitaifa.
Hao woote uliowataja ukiongeza na Zitto Kabwe ni aina ya wanasiasa wa kimtandao.
Hao kwa sasa wanafaa kurudi maana wanawezana na hii CCM ~ KINANA ya walamba Asali.
Hata kuibuka kwao waliibuka kisiasa enzi za CCM hiyohiyo,kwa hiyo ni wakati sahihi kwao kurudi.
Woote! Kinana,Lissu,Lema,Zitto,Makamba,Nape na hata Mbowe...adui yao alikuwa JPM na Sasa hayupo.
Waje tu sasa walambishane Asali kama zamani.
Mwenzao Zitto yeye tayari analamba taratibu.
Wewe ndo kichwa kibovu Sana mkuu walengwa walikua wao Mana ndo wasomi na wanasiasa na mabingwa wa mikakati walioweza kuzungumzia ujiwe wa Mwendazake ....mfatilie profesa shivji anasemaje kuhusu wasomi wa nchi hii miaka 6 iliyopitaProject iliyobuma.
Wakajipeleka ukimbizini wakidhani kutaibuka wimbi kubwa la watu kikimbia nchi; ikawa kinyume!
Wakaweka masharti ya kurudi: rais atoe tamko la kuwatangaza kama wao wafalme ndipo warudi; SSH kawakaushia, wameamua kujirudisha wenyewe kama wanatoka msalani tu.
Simpendi Kikwete, lakini alikuwa sahihi aliposema: za kuambiwa changanya na zako. Hawa jamaa hawana zao za kuchanganya.
Hufai kua tajiri kichwa unastaili uitwe masikini kichwa hujui lolote kuhusu lisu yule kaajiliwa ulaya ni mwandishi wao vitabu kuhusu afrika mashariki alihtaji ajira sio kulishwa hivo unasema na ajira alipataHawawezi rudi maana kule maisha kwao ni rahisi wanakula na kulipwa pesa za kujikimu
Thinking capacity yako Ni beloi averageBetter kuliko hao jamaa, ninachanganya na zangu
Labda video conference nayo ni mikutano.Hii ndio dondoo niliyoipata kwa siku ya leo , Kwamba hawa Manusura wa Kaburi , wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania , maana ya jambo hili ni kwamba wawili hawa hivi sasa wanazo tiketi mikononi mwao kwa ajili ya kuanza safari za kurejea nchini , na kuhudhuria vikao vya chama chao.
Tuendelee kutega sikio hapahapa JF kwa taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema .
Habari ndio hiyo
Project iliyobuma.