Tetesi: Tundu Lissu na Godbless Lema Kuhudhuria vikao vya Baraza Kuu la CHADEMA

Nimeipenda sana. Unakuwa mkimbizi kwa kuikimbia Tanzania ambayo adui mkubwa ni panya road tu. Hata waliowapokea wapimwe akili.
Adui mkubwa angekua panya road tu tusingeona msururu mkubwa wa ulinzi wa rais.kila mtu anajua mwenyewe thamani ya maisha yake.kama wewe thamani yako iko chini kaa utulie.
 
Swadakta
 
Hii ndio dondoo niliyoipata kwa siku ya leo , Kwamba hawa Manusura wa Kaburi , wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania , maana ya jambo hili ni kwamba wawili hawa hivi sasa wanazo tiketi mikononi mwao kwa ajili ya kuanza safari za kurejea nchini , na kuhudhuria vikao vya chama chao.

Tuendelee kutega sikio hapahapa JF kwa taarifa zaidi .

Mungu ibariki Chadema .
Siyo watahudhuria kupitia ZOOM MEETING??
 
Hakuna anayeweza ku-pay attetion kwao, kwani wana umuhimu gani zaidi ya kuwa wakimbizi na wanapewa sembe huko kwenye makambi kama wakimbizi wengine tuliowafuga huko Nyarugusu!
 
SSH kawakaushia,
Unasemaje? Unajua kilichomfanya mama kumfuata Lisu Ubeligiji?

Angeacha aone. Mwenzake alikuwa anaonywa kila mara hadharani wakati wa kampeni kwamba "mwambieni jiwe asicheze na uchaguzi huu".

Jiwe hakusikia akacheza na uchaguzi. Matokeo yake hivi tunavyozungumza jiwe yuko motoni akipata kichapo. Lkn mwana wa mungu Lisu yuko na tiketi mkononi.
 
Back
Top Bottom