Tetesi: Tundu Lissu na Godbless Lema Kuhudhuria vikao vya Baraza Kuu la CHADEMA

Haujielewi kabisaaaa
 
Hufai kua tajiri kichwa unastaili uitwe masikini kichwa hujui lolote kuhusu lisu yule kaajiliwa ulaya ni mwandishi wao vitabu kuhusu afrika mashariki alihtaji ajira sio kulishwa hivo unasema na ajira alipata

Yule ni mkimbizi wa kisiasa na pale analipwa kwa ukimbizi wake
 
Ukweli ni kwamba, za chini ya kapeti lakini, Wakubwa huko Wamekataa kurenew kibali cha hawa wakimbizi feki kula na kulala bure nchini mwao, wanasema mazingira ya sasa huku kwetu yapo shwari
 
Watu wakimbie Tena wakati kitisho hakipo, mind you hata wewe ungeweza kukumbia kama Hali ingeendelea kuwa kama ilivyokua , Gods timing was perfect
 
Tunasubiri kwa hamu kubwa matokeo ya hivyo vikao. Chadema ni mali ya wananchi...tunataka kauli ya chama kuhusiana na haya yanayoendelea hapa nchini.
Ukimya huu unakera.
Usiondoke JF
 
Ukweli ni kwamba, za chini ya kapeti lakini, Wakubwa huko Wamekataa kurenew kibali cha hawa wakimbizi feki kula na kulala bure nchini mwao, wanasema mazingira ya sasa huku kwetu yapo shwari
Uongo unakusaidia nini ?
 
Ukweli ni kwamba, za chini ya kapeti lakini, Wakubwa huko Wamekataa kurenew kibali cha hawa wakimbizi feki kula na kulala bure nchini mwao, wanasema mazingira ya sasa huku kwetu yapo shwari
Nimeipenda sana. Unakuwa mkimbizi kwa kuikimbia Tanzania ambayo adui mkubwa ni panya road tu. Hata waliowapokea wapimwe akili.
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Huwezi kuelewa mpaka uchanganye na zako
Hivi ndugu yangu wewe una utu kweli? Mtu amenusurika kuuawa kama nyati kwa bunduki za kivita halafu unasema hakustahili kuikimbia nchi kwa muda kwa hali ilivyokuwa?

Lengo lako ni abaki nchi ili mmalizie? Hata kama ni wewe usingeweza kuendelea kubaki nchini kwa mazingira yale.

Kuhusu kuhakikishiwa usalama wao hilo sio lazima Rais atangaze kwa umma bali anaweza kutoa maelekezo kwa wakuu wa vyombo vya ulinzi inatosha na wewe na mimi tusijue.
 
Uongo unakusaidia nini ?

Muulize Mbowe uongo ulimsaidia nini alipozunguka nchi nzima kusema Lowassa ni fisadi na kwenye website ya chama kwenye ile The List of Shame na kisha miaka chache baadae akampigia debe awe Rais wa nchi
 
Huyo hana Utu ana utindio wa ubongo
 
Tujifunze kujadili na kuchangia hoja.Si kukurupuka kwakuwa unachuki binafsi.
 
Tupoteze muda kweli kumfikiria tapeli Lema? Bora kidogo Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…