Tetesi: Tundu Lissu na Godbless Lema Kuhudhuria vikao vya Baraza Kuu la CHADEMA

Nimeipenda sana. Unakuwa mkimbizi kwa kuikimbia Tanzania ambayo adui mkubwa ni panya road tu. Hata waliowapokea wapimwe akili.
Adui mkubwa angekua panya road tu tusingeona msururu mkubwa wa ulinzi wa rais.kila mtu anajua mwenyewe thamani ya maisha yake.kama wewe thamani yako iko chini kaa utulie.
 
Adui mkubwa angekua panya road tu tusingeona msururu mkubwa wa ulinzi wa rais.kila mtu anajua mwenyewe thamani ya maisha yake.kama wewe thamani yako iko chini kaa utulie.
Swadakta
 
Wewe ndo kichwa kibovu Sana mkuu walengwa walikua wao Mana ndo wasomi na wanasiasa na mabingwa wa mikakati walioweza kuzungumzia ujiwe wa Mwendazake ....mfatilie profesa shivji anasemaje kuhusu wasomi wa nchi hii miaka 6 iliyopita
Kumbe lema naye ni msomi siyo !?
 
Siyo watahudhuria kupitia ZOOM MEETING??
 

Hakuna anayeweza ku-pay attetion kwao, kwani wana umuhimu gani zaidi ya kuwa wakimbizi na wanapewa sembe huko kwenye makambi kama wakimbizi wengine tuliowafuga huko Nyarugusu!
 
SSH kawakaushia,
Unasemaje? Unajua kilichomfanya mama kumfuata Lisu Ubeligiji?

Angeacha aone. Mwenzake alikuwa anaonywa kila mara hadharani wakati wa kampeni kwamba "mwambieni jiwe asicheze na uchaguzi huu".

Jiwe hakusikia akacheza na uchaguzi. Matokeo yake hivi tunavyozungumza jiwe yuko motoni akipata kichapo. Lkn mwana wa mungu Lisu yuko na tiketi mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…