Mbona suala la Tundu Lissu linaendeshwa kisanii Sana.
Ni mgombea kweli ama tunajazana upepo tu.
Lissu ndiye tegemeo na chaguo la watanzaniaGoods news to hear. Rip my ccm
Mwaka huu magamba lazima betri zizime tuHuyo Jumne muda wote yuko na Nyalandu......hakika Nyalandu ndio mgombea mteule wa Chadema!
Nyalandu asome alana za nyakati na kisha amuachie Lissu.
Lisu anajisumbua bure tu, hapitishwi kwenye chama.
Sasa Tundu lissu kura anapigia wp? Akichaguliwa kusimama kwa tkt ya CDM?
Hizi sura zinawanyima watu amani mioyoni tukianza na yule Betina
Siku zitaongea.Mbona suala la Tundu Lissu linaendeshwa kisanii Sana.
Ni mgombea kweli ama tunajazana upepo tu.
Lisu atavuruga kwani bado hana nafasi ya kufanya campaignNyalandu asome alana za nyakati na kisha amuachie Lissu.
Zizime kwa wanaccm Membe na Nyalandu?!Mwaka huu magamba lazima betri zizime tu
Anabaki nayoHivi Msigwa amesharejesha fom kweli
Afadhali Nyalandu ana hela ya kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni sawa na Membe.
Betri zenu lazima zitazima tu na ujerumani bado ndege hazijaanza kutoka na kuingiaZizime kwa wanaccm Membe na Nyalandu?!
Unachekesha!
Acha ramli chonganishi weweLisu anajisumbua bure tu, hapitishwi kwenye chama.
nimeziweka makusudiHizi sura zinawanyima watu amani mioyoni tukianza na yule Betina
Hakika !Cdm ni tunu kutoka kwa Mungu kuja kwa watanzania ili kukamilisha ukombozi
Mnajazwa upepo wewe na nani ?Mbona suala la Tundu Lissu linaendeshwa kisanii Sana.
Ni mgombea kweli ama tunajazana upepo tu.
Hivi hiyo betri huwa inachajiwa ?Mwaka huu magamba lazima betri zizime tu
Hivi hiyo betri huwa inachajiwa ?