Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Huyo siyo mgombea tu bali ndiye rais wetu ajaye baada ya uchaguzi wa October ambao utaweka historia hapa Tanzania.
Mbona suala la Tundu Lissu linaendeshwa kisanii Sana.
Ni mgombea kweli ama tunajazana upepo tu.