Mnajazwa upepo wewe na nani ?
Nini kimefanyike ili chaji iishe ghafla ?Haichajiwi bali ikifika muda wake inabidi waichaji wao walio iweka
Sijui kama ulikuwa umeshazaliwa, mwaka 95 Lowasa na Kikwete walitafuta wadhamini pamojaZanzibar walikuwa wanatafuta wadhamini pamoja!
😆😆😆Sijui kama ulikuwa umeshazaliwa, mwaka 95 Lowasa na Kikwete walitafuta wadhamini pamoja
Mungu yupi huyo anawapa wanaoamini katika Corona.Cdm ni tunu kutoka kwa Mungu kuja kwa watanzania ili kukamilisha ukombozi
Mungu ibariki chademaHawa hapa
View attachment 1511129
Mwingine huyu hapa anaitwa Jumbe ni mwakilishi wa Tundu Lissu
View attachment 1511132
Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato .
Mungu ibariki Chadema
Kwa sasa wenye pesa tu bila sifa hawana nafasi.Afadhali Nyalandu ana hela ya kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni sawa na Membe.
Haya ndio Majiwe.
Kama chama ni chako sawa.Lisu anajisumbua bure tu, hapitishwi kwenye chama.
Msigwa yupo wapi?Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato .
Demokrasia na MaandamanoLisu anajisumbua bure tu, hapitishwi kwenye chama.
Mungu yupi huyo anawapa wanaoamini katika Corona.
Mungu ibariki chadema
Kwa hiyo atafanya kampeni online.
Lumumba huko kwenu ipo ya kutosha! Kuna reserve ya 1.5 Trillion iliyokwapuliwa na mungujiweAfadhali Nyalandu ana hela ya kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni sawa na Membe.
Amuachie Lissu? Asije akatuendeshea nchi kwa kutumia wakala.Nyalandu asome alana za nyakati na kisha amuachie Lissu.
Na hili la Corona litawapa shida sana wakati wa kampeni. maana mmedhihirisha nyie hamuamini Mungu ni muweza wa yoteHuyo huyo anaye walinda mafisadi, anao walinda wanao waita wafdhili wao kuwa ni mabeberu lkn hao hao mabeberu wakitoa msaada kwao wanaitwa washirika wa maendeleo