Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Lazaro Nyalandu Warejesha fomu za kuomba uteuzi wa kugombea Urais baada kukamilisha kusaka wadhamini

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Lazaro Nyalandu Warejesha fomu za kuomba uteuzi wa kugombea Urais baada kukamilisha kusaka wadhamini

Huyo huyo anaye walinda mafisadi, anao walinda wanao waita wafdhili wao kuwa ni mabeberu lkn hao hao mabeberu wakitoa msaada kwao wanaitwa washirika wa maendeleo
Mungu yupi huyo anawapa wanaoamini katika Corona.
 
Najaribu kuimagine Rais Nyalandu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Kuna wakati alikuwa kwenye wanted list ya FBI baada ya makosa aliyofanya huko Iowa; shukrani sana kwa Mkapa na Kikwete, waliyamaliza!

Pamoja na kuwa Tundu Lissu ni mropokaji sana, ana akili zaidi ya Nyalandu. Linapokuja swala linalohitaji uchambuzi, Lissu anaweza kulikabili vizuri kuliko Nyalandu
 
Huyo huyo anaye walinda mafisadi, anao walinda wanao waita wafdhili wao kuwa ni mabeberu lkn hao hao mabeberu wakitoa msaada kwao wanaitwa washirika wa maendeleo
Na hili la Corona litawapa shida sana wakati wa kampeni. maana mmedhihirisha nyie hamuamini Mungu ni muweza wa yote
 
Back
Top Bottom