Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kama tittle inavyojieleza, mwaka huu.... Anyway.
Genta tulikuwa pamoja 2015. Ila mwaka huu tuko tofauti. Kwa mara ya kwanza baada ya kutafakari Tanzania ilipotoka, ilipo na inapoelekea, nimejidhihilishia pasipo shaka kuwa kwa maendeleo ya kweli ya watu, mifumo na vitu, Tanzania hatuna budi kuchukua njia tofauti.Hivi ameamua Kurejea kweli Tanzania hiyo Jumatatu ijayo kama alivyosema? Ameshajiridhisha kwa kila Kitu juu ya Ustawi wake mzima wa Kiuhai?
CDM ndo isome alama za nyakati imemuachia Nyalandu kwa sasa aendeleze hili game,Lisu na Mbowe warudi bungeni wakaongeze nguvu wakijiandaa na 2025,ila nje ya hapo kama watamsimamisha Lisu akifeli basi tena mchezo wake kisiasa na nguvuyake itakua imeishia hapo.hii ni kwa sababu itabidi Chadema waandae tena mtu mwingine ambae hatofeli,hivyo kumuachia Nyalandu kwa wakati huu ni kama sehemu ya CDM kukamilisha ushiriki wake ambao watakua wanajiandaa kwa ajili ya mwala 2025.Nyalandu asome alana za nyakati na kisha amuachie Lissu.
CCM ndio hawaachiani glasi mezani...haijakatazwa mkionana kusalimiana
Hivi huyu nyalandu kwanini kazingua kakubari kuachia jimbo lile,dah si angeongeza viti vya upinzani bungeni?Hawa hapa
View attachment 1511129
Mwingine huyu hapa anaitwa Jumbe ni mwakilishi wa Tundu Lissu
View attachment 1511132
Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato .
Mungu ibariki Chadema
endelea kutega sikio .Hivi huyu nyalandu kwanini kazingua kakubari kuachia jimbo lile,dah si angeongeza viti vya upinzani bungeni?
Afadhali Nyalandu ana hela ya kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni sawa na Membe.
Mbona suala la Tundu Lissu linaendeshwa kisanii Sana.
Ni mgombea kweli ama tunajazana upepo tu.