Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mwaka huu kura zote za watanzania walioumizwa na ubambikiwaji kesi kwa watu wasio na hatia, Udini na ukabila uliokithili, kuharibiwa vibaya kwa uchumi kulikopelekea mamilioni ya watu na vijana kukosa na kupoteza ajira, kuharibiwa vibaya kwa biashara za mahindi, mbaaazi, korosho na ufuta, kutekwa na kuuawa ovyo kwa watu ni kwa TUNDU ANTIPAS LISSU