Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na mwamko mpya kiushawishi

Hakuna hata kiwanda kimoja walichojenga,viwanda huwa vinajengwa na wawekezaji ambao awamu hii wamepeperuka.Hakuna mwekezaji mjinga wa kuleta mtaji wake Tanzania kwa aina ya Utawala tulionao,kubambikia kodi Accacia,wafanya biashara wengi kufilisiwa na uwepo wa sheria mbovu za uwekezaji.Hivyo Sera ya Tanzania ya viwanda ilikufa kimya kimya baada ya Kaijage kutumbuliwa,aliondoka navyo vile vilivyokwishajengwa!
 
Ila usisahau ushenzi wa kuengua wapinzani hakuna haki kabisa hapo. Pia wizi mkubwa utakuwepo jiwe ameshaapa lazima ashinde hata kama hatumpi kura.

Atangazwe (sio kushinda)
 
Una maono yameshaanza, huu ukimya WA siku NNE kuna Mambo mabaya yanasukwa na CCM.
 
Miaka 5 hakieleweka kwenye maendeleo ya mtu mmoja mmoja
 
Haya bwana hujataja CDM nimekulike.
 
Ahsante Mkuu kwa kuliona hili.. Ila nina wasiwasi na huko tuendako maana matukio ya kuwatia watu hofu kama yale ya Soweto huko Arusha watu wabaya wanaweza kuyatengeneza..
Jana nilitahadharisha kuhusu hili la kuwatia wananchi hofu.. Yaliotokea leo huko Nyamongo ni moja kati ya matukio hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…