Hakuna hata kiwanda kimoja walichojenga,viwanda huwa vinajengwa na wawekezaji ambao awamu hii wamepeperuka.Hakuna mwekezaji mjinga wa kuleta mtaji wake Tanzania kwa aina ya Utawala tulionao,kubambikia kodi Accacia,wafanya biashara wengi kufilisiwa na uwepo wa sheria mbovu za uwekezaji.Hivyo Sera ya Tanzania ya viwanda ilikufa kimya kimya baada ya Kaijage kutumbuliwa,aliondoka navyo vile vilivyokwishajengwa!