Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Lissu mnafiki sana, jamani huyu si ndio anayetaka tunyimwe hata msaada wa dawa za ukimwi eti kisa kukosa urais!! Ama kweli shetani akizeeka hujifanya malaika!
Kibaraka....huyu ndiye Yuda Eskariot aliye hai..
Huyu ni shetani au Ndugu yake shetani..
Heri ya mwenyezi Mungu iwe naye pia.
Lucifer ni huyu tulie nae kwa sasa ambae ameifanya nchi hii imekua ya ovyo, kila mmoja analia si vijana, wazee, wakina mama na watoto. Kazi yake ni ubabe na kuua ndicho huyu Lucifer alichotumwa.Mdomo wake umejaa matusi.hana maadali ya kikristo huyo labda kama ametubu.amemdhalilisha sana Rais wetu .hana tofauti na Lucifer aliyewaaminisha malaika kuwa angepindua utawala wa Mungu
Kwani amekutaja kwenye hizo Salamu?Tangu lini 'mshitaki wa watu wa Mungu' (shetani) akawa mcha Mungu na kuwatakia watu kheri ya Krismas? Makubwa haya!
Aliwadanganya Adam na Eva kwa kujifanya ni malaika wa nuru, kumbe hakuna lolote.
Mwambie tumeshituka, hatudanganyiki na salamu za kizandiki.
Moyo wangu huwa na furaha Sana, nionapo picha au sikia sauti ya ndugu yangu huyu, sijui ni Mimi pekee yangu Tanzania hii au Mungu akubariki Sana mh popote ulipo mh Lissu, love you so much mr
Punguza mnkari. Kutofautiana kimaono na itikadi ndiyo afya na maendeleo ya kijamii. Watu wengine wanamwona TL ni shujaa na tegemeo lao bali maCCM wanamuona ni shetani. "Co-existence of the opposites is a law of social development". Ndiyo maana tuna dini nyingi hapa duniani ili ku-comply na kanuni hii ya maisha. Punguza mnkari.Huyu ni shetani au Ndugu yake shetani..
Mnafiki mkubwa huyu....unaiombea nchi mabaya halafu unajidai unatoa salaam eti kwa Watanzania wote...Binafsi Sina haja na salaam zake...yaani wanaCCM huwa anawaita MaCCM kwa kejeli na chuki halafu eti anawatakia Christmas's njema...
Chukua Bible usome LUKA 1:26-31 Kisha soma LUKA 2:6-7. Baada ya kusoma hivyo vifungu Basi utapata prove yako unayoitaka bila kusimuliwa na mtu Kama Mimi ama yeyote.Can you prove it out my brother?
Ndio nalimuona akiwashangaa watu Kama nyie mlio na macho na hamuona Wala masikio na hamsikii.Ulimuona Masihi akishangaa?? Ulimuona wapi na mie nikamuone tafadhali?
Wanaolia lia kama wewe ni wezi wa Mali zetu. Acha mkome kabisa, ukitaka uishi Maisha marefu tangia zamani usifanye uasi juu ya mfalme.Lucifer ni huyu tulie nae kwa sasa ambae ameifnya nchi hii imekua ya ovyo ,kila mmoja analia si vijana,wazee,wakina mama na watoto .Kazi yake ni ubabe na kuua ndicho huyu Lucifer alichotumwa.
Acha kujifariji kwa kuendekeza ujinga na upagani hadharani.Hope utakuwa unaijua tarehe aliyozaliwa, tuwekee na sie tuijue, maana kuwashangaa wanao sherehekea leo wakati na wewe huijui hiyo tarehe nakuona ndio utakuwa kichaa zaidi.
Wewe umeamua kukaa kimya, wenzio wameamua kuchagua tarehe kwa ajili ya jambo lao, na zaidi kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Yesu Kristu, sio yesu kristu wako, hivyo usiwashangae waliojiongeza.
Oooh Ok kwa maana hiyo MAGUFULI na wakatoliki wengine woooote duniani sio wachamungu ... !!!!Hakuna mcha Mungu anae ona Ushoga ni miongoni mwa haki za binadamu.
Japo mimi binafsi naungana na yesu kristo kuwashangaa ninyi nyote mnaosema Messiah alizaliwa tarehe Kama ya Leo.
Hope utakuwa unaijua tarehe aliyozaliwa, tuwekee na sie tuijue, maana kuwashangaa wanao sherehekea leo wakati na wewe huijui hiyo tarehe nakuona ndio utakuwa kichaa zaidi.
Wewe umeamua kukaa kimya, wenzio wameamua kuchagua tarehe kwa ajili ya jambo lao, na zaidi kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Yesu Kristu, sio yesu kristu wako, hivyo usiwashangae waliojiongeza.
Maana ya msemo "kuwa na macho hamuoni na masikio hamsikii" huijui, unaropoka tu, ulimuonea wapi?Ndio nalimuona akiwashangaa watu Kama nyie mlio na macho na hamuona Wala masikio na hamsikii.
Nami nakuuliza, Ulimuona Wapi masihi akisherekea au kuweka kumbukizi ya kuzaliwa kwake kwa kipindi chote Cha zaidi ya miaka 30 alizoishi dunian?
Kati yetu nani anaejifariji? hujielewi myfriend unatupigia kelele tu hapa, upagani ni kutokuamini, kutokuwa na imani, wewe sijui unamuitaje mtu mwenye imani mpagani?!Acha kujifariji kwa kuendekeza ujinga na upagani hadharani.
Kama yesu mwenyewe hakuwahi kusherekea Wala kuweka kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa kipindi chote alichoishi dunian, nyie Binadam walimbukeni mnapata Wapi ujasiri wa kuazimisha siku ya giza hiyo isiyo aksi uhalisia wa uzao?.
Masharti ya ukimbizi hayamruhusu kuropoka!Ashachuja huyu, atulie na bwana wake Amsterdam, zile ongea zake za kejeli na dharua zimekufa kifo cha asili pia.
Ina maana ukisema mtu fulani alizaliwa "njiti" huo ni udhalilishaji? Kuzaliwa "njiti" kwa tafsiri yako ni kitendo dhalili?Huoni kutenga hiyo December ni udhalilishaji wa kutaka kusema yesu kristo alizaliwa njiti wa miezi6, ("Malaika Gabriel alimtokea Maria kumpasha habari ya yesu mwezi 6" LUKA).
Kama hii sherehe isingekuwa na siasa pamoja na uhuni ndani yake basi, siku ya sherehe ya kuzaliwa kwa yesu ingewekwa Kati ya mwezi 6-7 na siyo 12.
Tatizo lenu ngozi nyeusi mnaamini kuwa kila lililoamuliwa na watu weupe kwa mgongo wa dini ni sahihi. Jipeni muda wa kufuatilia ukweli.
Swali; Ni sehemu gani katika Bible imeendikwa mkumbuke na kufanya sherehe siku ya kuzaliwa kwa kristo?
Je kwa miaka30+ aliyoishi yesu kristo hapa dunian Kuna sehemu katika Bible wameonesha alisherekea au kuweka kimbukizi siku yake ya kuzaliwa?