Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu .

View attachment 1658577
Huyu ni shetani au Ndugu yake shetani..
Mnafiki mkubwa huyu....unaiombea nchi mabaya halafu unajidai unatoa salaam eti kwa Watanzania wote...Binafsi Sina haja na salaam zake...yaani wanaCCM huwa anawaita MaCCM kwa kejeli na chuki halafu eti anawatakia Christmas's njema...
 
Mdomo wake umejaa matusi.hana maadali ya kikristo huyo labda kama ametubu.amemdhalilisha sana Rais wetu .hana tofauti na Lucifer aliyewaaminisha malaika kuwa angepindua utawala wa Mungu
Lucifer ni huyu tulie nae kwa sasa ambae ameifanya nchi hii imekua ya ovyo, kila mmoja analia si vijana, wazee, wakina mama na watoto. Kazi yake ni ubabe na kuua ndicho huyu Lucifer alichotumwa.
 
Huyu ni shetani au Ndugu yake shetani..
Mnafiki mkubwa huyu....unaiombea nchi mabaya halafu unajidai unatoa salaam eti kwa Watanzania wote...Binafsi Sina haja na salaam zake...yaani wanaCCM huwa anawaita MaCCM kwa kejeli na chuki halafu eti anawatakia Christmas's njema...
Punguza mnkari. Kutofautiana kimaono na itikadi ndiyo afya na maendeleo ya kijamii. Watu wengine wanamwona TL ni shujaa na tegemeo lao bali maCCM wanamuona ni shetani. "Co-existence of the opposites is a law of social development". Ndiyo maana tuna dini nyingi hapa duniani ili ku-comply na kanuni hii ya maisha. Punguza mnkari.
 
Can you prove it out my brother?
Chukua Bible usome LUKA 1:26-31 Kisha soma LUKA 2:6-7. Baada ya kusoma hivyo vifungu Basi utapata prove yako unayoitaka bila kusimuliwa na mtu Kama Mimi ama yeyote.
 
Ulimuona Masihi akishangaa?? Ulimuona wapi na mie nikamuone tafadhali?
Ndio nalimuona akiwashangaa watu Kama nyie mlio na macho na hamuona Wala masikio na hamsikii.

Nami nakuuliza, Ulimuona Wapi masihi akisherekea au kuweka kumbukizi ya kuzaliwa kwake kwa kipindi chote Cha zaidi ya miaka 30 alizoishi dunian?
 
Lucifer ni huyu tulie nae kwa sasa ambae ameifnya nchi hii imekua ya ovyo ,kila mmoja analia si vijana,wazee,wakina mama na watoto .Kazi yake ni ubabe na kuua ndicho huyu Lucifer alichotumwa.
Wanaolia lia kama wewe ni wezi wa Mali zetu. Acha mkome kabisa, ukitaka uishi Maisha marefu tangia zamani usifanye uasi juu ya mfalme.
 
Hope utakuwa unaijua tarehe aliyozaliwa, tuwekee na sie tuijue, maana kuwashangaa wanao sherehekea leo wakati na wewe huijui hiyo tarehe nakuona ndio utakuwa kichaa zaidi.

Wewe umeamua kukaa kimya, wenzio wameamua kuchagua tarehe kwa ajili ya jambo lao, na zaidi kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Yesu Kristu, sio yesu kristu wako, hivyo usiwashangae waliojiongeza.
Acha kujifariji kwa kuendekeza ujinga na upagani hadharani.

Kama yesu mwenyewe hakuwahi kusherekea Wala kuweka kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa kipindi chote alichoishi duniani, nyie Binadamu walimbukeni mnapata Wapi ujasiri wa kuazimisha siku ya giza hiyo isiyo aksi uhalisia wa uzao?.
 
Hakuna mcha Mungu anae ona Ushoga ni miongoni mwa haki za binadamu.

Japo mimi binafsi naungana na yesu kristo kuwashangaa ninyi nyote mnaosema Messiah alizaliwa tarehe Kama ya Leo.
Oooh Ok kwa maana hiyo MAGUFULI na wakatoliki wengine woooote duniani sio wachamungu ... !!!!

Hii ni kwa sababu PAPAA Mobimba wao ambae ndie kiongozi mkuu wa kanisa hilo na waumini wake wote kwa pamoja wamebariki ndoa za jinsia moja

Yaani upande mmoja mnabariki ushoga Kanisani kwenye ibada za kiroho, halafu upande mwingine mnaupinga ushoga majukwaani kwenye siasa za kimaslahi

Hivi nyinyi watu hasa wakatoliki wa CCM mnatofauti gani na shetani ??? Mbona ni wanafiki wa kiwango cha lami ??? Ama hakika nyinyi ni katika familia ya Shetani mtashindwa na mtalegea ..
 
Huyu hana lolote, lisaliti la watanzania hili. Linatumiwa na wazungu ili nchi ivurugike,

Wewe na genge lako mmefanya vizuri kukimbia nchi, watumikieni hao mabwana zenu mtuachie nchi yetu tuijenge wenyewe.

Usisahau kuwa kuna COVID19.
 
Hope utakuwa unaijua tarehe aliyozaliwa, tuwekee na sie tuijue, maana kuwashangaa wanao sherehekea leo wakati na wewe huijui hiyo tarehe nakuona ndio utakuwa kichaa zaidi.

Wewe umeamua kukaa kimya, wenzio wameamua kuchagua tarehe kwa ajili ya jambo lao, na zaidi kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Yesu Kristu, sio yesu kristu wako, hivyo usiwashangae waliojiongeza.
 
😂 makamanda wa ufipa mnajua kumpamba mtu kwa unafiki wakiwango cha PhD.
 
Ndio nalimuona akiwashangaa watu Kama nyie mlio na macho na hamuona Wala masikio na hamsikii.

Nami nakuuliza, Ulimuona Wapi masihi akisherekea au kuweka kumbukizi ya kuzaliwa kwake kwa kipindi chote Cha zaidi ya miaka 30 alizoishi dunian?
Maana ya msemo "kuwa na macho hamuoni na masikio hamsikii" huijui, unaropoka tu, ulimuonea wapi?
 
Acha kujifariji kwa kuendekeza ujinga na upagani hadharani.

Kama yesu mwenyewe hakuwahi kusherekea Wala kuweka kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa kipindi chote alichoishi dunian, nyie Binadam walimbukeni mnapata Wapi ujasiri wa kuazimisha siku ya giza hiyo isiyo aksi uhalisia wa uzao?.
Kati yetu nani anaejifariji? hujielewi myfriend unatupigia kelele tu hapa, upagani ni kutokuamini, kutokuwa na imani, wewe sijui unamuitaje mtu mwenye imani mpagani?!

Hope hapo ulipo hauna mke pia, coz Yesu hakuwa nae, hujafunga ndoa pia, coz Yesu hakufunga, nyie walokole huwa mna matatizo sana ya ujuaji.
 
Huoni kutenga hiyo December ni udhalilishaji wa kutaka kusema yesu kristo alizaliwa njiti wa miezi6, ("Malaika Gabriel alimtokea Maria kumpasha habari ya yesu mwezi 6" LUKA).

Kama hii sherehe isingekuwa na siasa pamoja na uhuni ndani yake basi, siku ya sherehe ya kuzaliwa kwa yesu ingewekwa Kati ya mwezi 6-7 na siyo 12.

Tatizo lenu ngozi nyeusi mnaamini kuwa kila lililoamuliwa na watu weupe kwa mgongo wa dini ni sahihi. Jipeni muda wa kufuatilia ukweli.

Swali; Ni sehemu gani katika Bible imeendikwa mkumbuke na kufanya sherehe siku ya kuzaliwa kwa kristo?

Je kwa miaka30+ aliyoishi yesu kristo hapa dunian Kuna sehemu katika Bible wameonesha alisherekea au kuweka kimbukizi siku yake ya kuzaliwa?
Ina maana ukisema mtu fulani alizaliwa "njiti" huo ni udhalilishaji? Kuzaliwa "njiti" kwa tafsiri yako ni kitendo dhalili?
 
Back
Top Bottom