Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
YeahMimi nafikiri wananchi wachukue hatua sasa na siyo kesho. Serikali haijali muda, pesa na rasilimali zingine za kupoteza. This is too much.
Tukiendelea hivi, hii kesi inaweza kwenda hata miaka 5. Ni wazi nia siyo kumfunga Lissu bali kumweka mbali na majukwaa ya kisiasa, kumkatisha tamaa na kumpotezea muda. Wanajua au kudhani kuwa akija kuachiwa, mazingira ya kisiasa yanaweza kuwa tofauti na Lissu anaweza asiwe na nguvu tena.
Mimi nafikiri wananchi wachukue hatua sasa na siyo kesho. Serikali haijali muda, pesa na rasilimali zingine za kupoteza. This is too much.
Tukiendelea hivi, hii kesi inaweza kwenda hata miaka 5. Ni wazi nia siyo kumfunga Lissu bali kumweka mbali na majukwaa ya kisiasa, kumkatisha tamaa na kumpotezea muda. Wanajua au kudhani kuwa akija kuachiwa, mazingira ya kisiasa yanaweza kuwa tofauti na Lissu anaweza asiwe na nguvu tena.
Bwabwa na tapeli weweMuhalifu kama Lissu hatakiwi kunyongwa haraka anatakiwa ateseke kwanza kabla ya kunyongwa ili hata akinyongwa awe na adabu
Saiz anajifanya kilema wa akili,apate posho ya samuyaBwabwa na tapeli wewe
View attachment 3548092
Pole kwa huyo jaji toka Zanzibar.Za ndaaani kutoka chanzo changu cha kuaminika kisicho na shaka kinasema huko mahakama ya rufaa shauri hilo atapewa jaji toka Zanzibar.
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu iliyokuwa inaendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka pale shauri la mapitio lililowasilishwa Mahakama ya Rufaa na jamhuri kukamilika.
Leo Februari 24, 2026 baada ya kusikiliza wasilisho la upande wa mashtaka juu ya rufaa waliyowasilisha Mahakama ya Rufaa, akijibu taarifa hiyo mahakamani Lissu aliuomba upande wa Jamhuri kumkabidhi nakala ili aweze kujiandaa na shauri hilo la mapitio.
Lissu ameieleza mahakama kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 8(2D) cha sheria ya Mamlaka ya Rufaa kwamba hakiruhusu rufaa wala mapitio wala marejeo ya maamuzi ya mahakama ambayo hayamalizi shauri la msingi.
Ameeleza kuwa anafahamu hilo limefanyika kwa lengo la kurefusha mashauri haya ili aendelee kukaa gerezani “Hilo lengo ni kupeleka huko huku yasimame ili huyu mbaya wao aendelee kukaa gerezani.”
Amesisitiza “kwa vile wanalipeleka mahakama ya rufani nitawafuata huko huko na kwenda kuwashughulikia huko huko. Najua nitakaa gerezani lakini nitarudi hapa na tutakaporudi hapa tutaona jinsi ambavyo kesi yao ilikuwa imekufa” Lissu akizungumza kwa uchungu
Pamoja na hayo Lissu aliwasilisha changamoto anayopitia ya kukosekana kwa usiri akitembelewa na washauri wake wa kisheria jambo ambalo Ofisi ya DPP kupitia Wakili wa Serikali Mkuu Renatus Mkude umeeleza kuwa watayarekebisha malalamiko yote ya Lissu.
Soma
Muhalifu kama Lissu hatakiwi kunyongwa haraka anatakiwa ateseke kwanza kabla ya kunyongwa ili hata akinyongwa awe na adabu
Mashoga Hawa, halafu sijui kwa nini mashoga wanakuwa makatili sana? Au kwa sababu mmesaliti hata jinsia zenu hamuoni shida kusaliti haki na ustawi wa watanganyika?Muhalifu kama Lissu hatakiwi kunyongwa haraka anatakiwa ateseke kwanza kabla ya kunyongwa ili hata akinyongwa awe na adabu
Kama yule jaji aliyekuwa mkurugenzi wa tume ya jecha aliyeifungia CHADEMA isifanye siasa na kukataa kujitoa. Kitu nilichogundua wazanzibari ni masnitch mnoo ingawa wachache wema wapoZa ndaaani kutoka chanzo changu cha kuaminika kisicho na shaka kinasema huko mahakama ya rufaa shauri hilo atapewa jaji toka Zanzibar.
These mazafakas are an embarrassment to the legal profession. The 3+ years they spent studying law didn’t transform them in any meaningful way. They came out just as ignorant as they went in.Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu iliyokuwa inaendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka pale shauri la mapitio lililowasilishwa Mahakama ya Rufaa na jamhuri kukamilika.
Leo Februari 24, 2026 baada ya kusikiliza wasilisho la upande wa mashtaka juu ya rufaa waliyowasilisha Mahakama ya Rufaa, akijibu taarifa hiyo mahakamani Lissu aliuomba upande wa Jamhuri kumkabidhi nakala ili aweze kujiandaa na shauri hilo la mapitio.
Lissu ameieleza mahakama kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 8(2D) cha sheria ya Mamlaka ya Rufaa kwamba hakiruhusu rufaa wala mapitio wala marejeo ya maamuzi ya mahakama ambayo hayamalizi shauri la msingi.
Ameeleza kuwa anafahamu hilo limefanyika kwa lengo la kurefusha mashauri haya ili aendelee kukaa gerezani “Hilo lengo ni kupeleka huko huku yasimame ili huyu mbaya wao aendelee kukaa gerezani.”
Amesisitiza “kwa vile wanalipeleka mahakama ya rufani nitawafuata huko huko na kwenda kuwashughulikia huko huko. Najua nitakaa gerezani lakini nitarudi hapa na tutakaporudi hapa tutaona jinsi ambavyo kesi yao ilikuwa imekufa” Lissu akizungumza kwa uchungu
Pamoja na hayo Lissu aliwasilisha changamoto anayopitia ya kukosekana kwa usiri akitembelewa na washauri wake wa kisheria jambo ambalo Ofisi ya DPP kupitia Wakili wa Serikali Mkuu Renatus Mkude umeeleza kuwa watayarekebisha malalamiko yote ya Lissu.
Soma
Bado siku chache tu utajutia ulichoandika hapaMuhalifu kama Lissu hatakiwi kunyongwa haraka anatakiwa ateseke kwanza kabla ya kunyongwa ili hata akinyongwa awe na adabu
Wazenji waangalie wasijikusanyie akiba ya visasi vingi kutoka kwa Watanganyika ambao ndio wengi kwa kusimama na watesi wa umma, wezi, watekaji, wauaji.., watakuja kujuta mnoZa ndaaani kutoka chanzo changu cha kuaminika kisicho na shaka kinasema huko mahakama ya rufaa shauri hilo atapewa jaji toka Zanzibar.