Akija kufungua kesi kudai fidia serikali mabilioni ya fedha wakishindwa kumlipa kwa wakati atakamata ndege zetu watawala wetu huwa hawafikirii vizuri mbele kiza wanaona wanamtaabisha kumbe nchi mbeleni inaweza kuingia hasara ambayo ingeweza kuepukika mapema sana. Yetu macho maana wanajiita hawaambiliki lakini busara hawana nchi ishachafuka kila kona wakati ilikuwa ikiheshimila na kutolewa mfano huko duniani tazama sana tumekuwa mfano mbaya kisa ubinafsi na uroho wa madaraka wa wachacheMimi nafikiri wananchi wachukue hatua sasa na siyo kesho. Serikali haijali muda, pesa na rasilimali zingine za kupoteza. This is too much.
Tukiendelea hivi, hii kesi inaweza kwenda hata miaka 5. Ni wazi nia siyo kumfunga Lissu bali kumweka mbali na majukwaa ya kisiasa, kumkatisha tamaa na kumpotezea muda. Wanajua au kudhani kuwa akija kuachiwa, mazingira ya kisiasa yanaweza kuwa tofauti na Lissu anaweza asiwe na nguvu ten
Wewe ni moja hasara kubwa tuliyonayo kama taifaMuhalifu kama Lissu hatakiwi kunyongwa haraka anatakiwa ateseke kwanza kabla ya kunyongwa ili hata akinyongwa awe na adabu
Hajifanyi ila ni kweli ana ulemavu wa akili wa kudumuSaiz anajifanya kilema wa akili,apate posho ya samuya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bwabwa na tapeli wewe
View attachment 3548092
Mahakama za rufaa hakuna ujinga huo gentleman!Za ndaaani kutoka chanzo changu cha kuaminika kisicho na shaka kinasema huko mahakama ya rufaa shauri hilo atapewa jaji toka Zanzibar.
SubiriMahakama za rufaa hakuna ujinga huo gentleman!
dah jama kachoka kinyama licha ya kwenda na chakula kizimbani,Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu iliyokuwa inaendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka pale shauri la mapitio lililowasilishwa Mahakama ya Rufaa na jamhuri kukamilika.
Leo Februari 24, 2026 baada ya kusikiliza wasilisho la upande wa mashtaka juu ya rufaa waliyowasilisha Mahakama ya Rufaa, akijibu taarifa hiyo mahakamani Lissu aliuomba upande wa Jamhuri kumkabidhi nakala ili aweze kujiandaa na shauri hilo la mapitio.
Lissu ameieleza mahakama kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 8(2D) cha sheria ya Mamlaka ya Rufaa kwamba hakiruhusu rufaa wala mapitio wala marejeo ya maamuzi ya mahakama ambayo hayamalizi shauri la msingi.
Ameeleza kuwa anafahamu hilo limefanyika kwa lengo la kurefusha mashauri haya ili aendelee kukaa gerezani “Hilo lengo ni kupeleka huko huku yasimame ili huyu mbaya wao aendelee kukaa gerezani.”
Amesisitiza “kwa vile wanalipeleka mahakama ya rufani nitawafuata huko huko na kwenda kuwashughulikia huko huko. Najua nitakaa gerezani lakini nitarudi hapa na tutakaporudi hapa tutaona jinsi ambavyo kesi yao ilikuwa imekufa” Lissu akizungumza kwa uchungu
Pamoja na hayo Lissu aliwasilisha changamoto anayopitia ya kukosekana kwa usiri akitembelewa na washauri wake wa kisheria jambo ambalo Ofisi ya DPP kupitia Wakili wa Serikali Mkuu Renatus Mkude umeeleza kuwa watayarekebisha malalamiko yote ya Lissu.
Soma

Wazenji wameteseka utawala wa ccm zaidi ya mateso watanganyika wanapitia kipindi hiki.Wazenji waangalie wasijikusanyie akiba ya visasi vingi kutoka kwa Watanganyika ambao ndio wengi kwa kusimama na watesi wa umma, wezi, watekaji, wauaji.., watakuja kujuta mno
mkuu ,tofautisha kusoma sheria ukaelewa na kusoma Community development ukaajiliwaI am sure hata kama wangekubali huyo mahamba alete huo ushahidi bado utakuwa ni ujinga uleule kwani ana quality gani zaidi ya mapolisi mengine? Wote viazi tu na Lissu ataupangulia mbali na kumuaibisha zaidi mamaduro!
Japo ndio wamemfanya turufu ya kuwaokoa kina katuga na ukiazi wao. Tuliona quality ya kingai kwa kesi ya Mbowe so hamna kamishna wala konstebo anayejua anafanya nini, kazi yao ni manguvu na kuua tu
Polisi wa Tz kuanzia aijipii hadi wa kata wote viazi tu medicre wasiojua hata PGO yao wenyewe, yani kama angekuwa askofu halafu hajui biblia/misale au shekhe hajui kuruani yake!
Basi walipize visasi kwa watesi wao ccm, sio kwa Watanganyika ambao pia ni wahanga wa mateso ya hao hao ccm.Wazenji wameteseka utawala wa ccm zaidi ya mateso watanganyika wanapitia kipindi hiki.
Huyu Mwamba apewe Urais tu, watahangaika sana hawatamwezaLissu ameieleza mahakama kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 8(2D) cha sheria ya Mamlaka ya Rufaa kwamba hakiruhusu rufaa wala mapitio wala marejeo ya maamuzi ya mahakama ambayo hayamalizi shauri la msingi.
Mkuu fedha hazitatoka mifukoni mwao, hawajali kitu nafikiri.Akija kufungua kesi kudai fidia serikali mabilioni ya fedha wakishindwa kumlipa kwa wakati atakamata ndege zetu watawala wetu huwa hawafikirii vizuri mbele kiza wanaona wanamtaabisha kumbe nchi mbeleni inaweza kuingia hasara ambayo ingeweza kuepukika mapema sana. Yetu macho maana wanajiita hawaambiliki lakini busara hawana nchi ishachafuka kila kona wakati ilikuwa ikiheshimila na kutolewa mfano huko duniani tazama sana tumekuwa mfano mbaya kisa ubinafsi na uroho wa madaraka wa wachache
Ndo inabidi tuanze kuwabana kwanini hawafikirii mbele wakidaiwa fidia waanze kusema sio mzalendo na upuuzi kama huo wa kuvaa scarfs shingoniMkuu fedha hazitatoka mifukoni mwao, hawajali kitu nafikiri.
🤣🤣🤣 Ngoja akutane na wenye nchi apewe posho ya makofi ya kumkuknguzua atoke uchiziniSaiz anajifanya kilema wa akili,apate posho ya samuya