Tundu Lissu: Nakwenda kuwashughulikia huko huko Mahakama ya Rufaa

Majizi yameshindwa kesi na ushahidi wao wa kuhamasika kwa video ya YouTube.
 
Akija kufungua kesi kudai fidia serikali mabilioni ya fedha wakishindwa kumlipa kwa wakati atakamata ndege zetu watawala wetu huwa hawafikirii vizuri mbele kiza wanaona wanamtaabisha kumbe nchi mbeleni inaweza kuingia hasara ambayo ingeweza kuepukika mapema sana. Yetu macho maana wanajiita hawaambiliki lakini busara hawana nchi ishachafuka kila kona wakati ilikuwa ikiheshimila na kutolewa mfano huko duniani tazama sana tumekuwa mfano mbaya kisa ubinafsi na uroho wa madaraka wa wachache
 
Wakati wanapalilia ya lissu wakumbuke kesi yao inawasubiri unachomfanyia mwenzako ndicho utakachofanyiwa na wewe.Walijaribu kumuua TL ila wao ndio waliotangulia,wanahangaika kumfungulia kesi na wengine nao wanashughulikia kesi yao
 
I am sure hata kama wangekubali huyo mahamba alete huo ushahidi bado utakuwa ni ujinga uleule kwani ana quality gani zaidi ya mapolisi mengine? Wote viazi tu na Lissu ataupangulia mbali na kumuaibisha zaidi mamaduro!

Japo ndio wamemfanya turufu ya kuwaokoa kina katuga na ukiazi wao. Tuliona quality ya kingai kwa kesi ya Mbowe so hamna kamishna wala konstebo anayejua anafanya nini, kazi yao ni manguvu na kuua tu

Polisi wa Tz kuanzia aijipii hadi wa kata wote viazi tu mediocre wasiojua hata PGO yao wenyewe, yani kama angekuwa askofu halafu hajui biblia/misale au shekhe hajui kuruani yake!
 
dah jama kachoka kinyama licha ya kwenda na chakula kizimbani,
huenda anafanya mazoezi sana
 
Wazenji waangalie wasijikusanyie akiba ya visasi vingi kutoka kwa Watanganyika ambao ndio wengi kwa kusimama na watesi wa umma, wezi, watekaji, wauaji.., watakuja kujuta mno
Wazenji wameteseka utawala wa ccm zaidi ya mateso watanganyika wanapitia kipindi hiki.
 
mkuu ,tofautisha kusoma sheria ukaelewa na kusoma Community development ukaajiliwa
 
Wazenji wameteseka utawala wa ccm zaidi ya mateso watanganyika wanapitia kipindi hiki.
Basi walipize visasi kwa watesi wao ccm, sio kwa Watanganyika ambao pia ni wahanga wa mateso ya hao hao ccm.

Kimsingi, ukishirikiana na adui na wewe ni adui
 
Lissu ameieleza mahakama kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 8(2D) cha sheria ya Mamlaka ya Rufaa kwamba hakiruhusu rufaa wala mapitio wala marejeo ya maamuzi ya mahakama ambayo hayamalizi shauri la msingi.
Huyu Mwamba apewe Urais tu, watahangaika sana hawatamweza
 
Shida jamaa kawazidi akili ni ngumu kupambana na mtu aliekuzidi uwezo ni ngumu sana...
 
Mkuu fedha hazitatoka mifukoni mwao, hawajali kitu nafikiri.
 
Mkuu fedha hazitatoka mifukoni mwao, hawajali kitu nafikiri.
Ndo inabidi tuanze kuwabana kwanini hawafikirii mbele wakidaiwa fidia waanze kusema sio mzalendo na upuuzi kama huo wa kuvaa scarfs shingoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…