Tundu Lissu: Namuunga mkono Dk Nshala Urais TLS

Tundu Lissu: Namuunga mkono Dk Nshala Urais TLS

Hili yai la Lissu ni kama la ukoo wa malkia pale Uingereza.. Hakika Mungu amenibariki kuishi katika Era za Tundu Lissu

Asante Mungu kwa ajili ya Tundu Lissu[emoji1431]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi naomba kuuliza kuna tofauti gani kati ya wakili na wakili msomi. ?
 
Kuna watu nawangalia walivyojinunisha kama wameungua na ubwabwa wa hitima. Hamna jema? 😂😂😂😂😂😂😂🔫
 
Haya mataahira kweli, hivi ule mkanda wa mauaji ya bulyanhulu waliomshikisha mrema bado wanao?
 
Back
Top Bottom