Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Wacha maneno wewe!
Wekeni voice note ya jiwe Na mama wa ujerumani tuone hiyo lugha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha maneno wewe!
JF raha sana. Nimejikuta nacheka mwenyewe mkuu.Kama tundu lissu amemkubali mimi ni nani nipingane nae!
Halafu hicho kingereza cha Lissu hata akiniambia ameongea na Angela Merkel kwenye simu naamini bila shaka yoyote!
Kingereza atiririke rais Lissu tabu unapata we mwana Lumumba!Jamaa bado limbukeni la kutupwa.
Hebu tupe kaatiko ka hoja kwa yai huku ukipinga hizo hoja zake....Lisu ni kilema wa akili aka marehemu aliye kitandani so ni unsound mind so comment zake pia ni marehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonyesha usivyojitambua kama marehemu. Mungu akurehemu tu.Lisu ni kilema wa akili aka marehemu aliye kitandani so ni unsound mind so comment zake pia ni marehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kilimbukeni hicho.Kingereza atiririke rais Lissu tabu unapata we mwana Lumumba!
kweli uchawi upo
Hon Msukuma atawatafsiriaoopss atleast kwa hii Lugha lumumba hawatapata presha manaa wengi Ni vilaza hawata elewa lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba we mbweha wa kijani!Cha kilimbukeni hicho.
Ni upumbavu na ulimbukeni wa hali ya juu kudhani ukitumia Kiingereza ndio utaeleweka na watanzania wengi.Acha ushamba we mbweha wa kijani!
Weka voice note ya jiwe na mama wa ujerumani hapa kama hatujapoteana humu!
Kwaiyo kama kiingereza ni ulimbuken basi lugha inayofaa ni ya ishara au picha ww wa wapi?Ni upumbavu na ulimbukeni wa hali ya juu kudhani ukitumia Kiingereza ndio utaeleweka na watanzania wengi.
Yap, yule hata siku akikwambia ummpe mkeo amgonge unampa tu! Ama siyo bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upuuzi tu kudhani ukitumia Kiingereza ndio Mungu atakuelewa vizuri zaidi.Kwaiyo kama kiingereza ni ulimbuken basi lugha inayofaa ni ya ishara au picha ww wa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app