Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

SOURCE TBC

Confirmed: Jimbo la Singida Mashariki - UBUNGE: Tundu Lissu [CHADEMA] 13,777 Jonathan Njau [CCM] 12,170
 
wana Jf mpiganaji Lissu ametangazwa rasmi kuwa mbunge mpya wa Singida Mashariki. Source TBC1 live now
 
singida easttundu 13,787.00 ccm 12,161.00 singida westCCM 12,904.00 CUF 7,318.00 Singida NorthNyarandu 41,102.00 CHADEMA 3,544.00 CUF 550.00
TBC 21:46HRS
 
Source: a prominent chadema member from the ground.

CHADEMA -13,500 zimempeleka mjengoni dhidi ya 12,000+ za CCM
 
... kwa kushinda kiti hicho. Hii ni mara ya pili mara ya kwanza ilikuwa 1995 lakini kura hazikutosha ...Nimefanya kazi naye pale LEAT
...kwa hiyo enzi hizo ulikuwa unaweza kushinda hata kura zisitoshe? Maana unadai hii mara ya pili kushinda. Vipi Mzee wa LEAT, Mwanasheria kweli wewe?
 
singida easttundu 13,787.00 ccm 12,161.00 singida westCCM 12,904.00 CUF 7,318.00 Singida NorthNyarandu 41,102.00 CHADEMA 3,544.00 CUF 550.00
 
Jamani bunge la mwaka huu hadi raha. Waziri wa madini ajaye atakiona cha moto. Na Kikwete (najua ameshashinda kama alivyosema kuwa msipotuchagua tutajishindisha) akichagua waziri mkuu asiyefaa kataeni kabisa.
 
singida easttundu 13,787.00 ccm 12,161.00 singida westCCM 12,904.00 CUF 7,318.00 Singida NorthNyarandu 41,102.00 CHADEMA 3,544.00 CUF 550.00
 
asante baba ibra mo .....now i have new hope to my country
huyu jamaa namwamini.
 
Tundu Lisu = uncountable (wengiiiiiiii) kinanas, 10000000000000000000000000000000 000000000000........... makambas, 100 wabunge wa CCM
big up, kuwa na number kubwa la wabunge wanaoenda kulala bungeni haisaidiiiiiiiiiiiiiiiii, msijali wabunge 10 wa CHADEMA watamudu bunge vibaya saaaaaaaaaaaana tu, good job Lisu:loco::israel::rockon:
 
Jamani niweke huru, unajua nn? Kuna mdada tuliwekeana dau kama Tundu Lissu akishinda mdada akasema hana ela ya kutoa ila atavua nguo zote hadharani,mi nkahaidi laki kama akishindwa. Nipe uhakika kama Lissu yuko juu nkamtafute uyu mdada magomeni! TUNDU LISSU OYEEe!

oya nishtue basi man kama vipi niwepo na mimi huyo mdada akifanya mambo
 
It is already confirmed dear members,Tundu Lissu in de house!!!!
 
...kwa hiyo enzi hizo ulikuwa unaweza kushinda hata kura zisitoshe? Maana unadai hii mara ya pili kushinda. Vipi Mzee wa LEAT, Mwanasheria kweli wewe?

Nilijibu hoja hii lakini jibu langu silioni je wenye mtungo huu mumeiondoa? Jibu lilikuwa hili.
Mtu anapotumia neno hazikutosha ni kwamba hakushinda lakini mwenzangu umekurupuka bila hata kujua maana ya matumizi yake. Kuhusu uanasheria wangu ni vema ukaangalie kwenye google kwa kutumia jina langu hilo la kwanza ndio utajua kama ni mwanasheria au mbabaishaji.
 
Huku Lisu,kule mbowe,pale zito,kati sugu,pembeni ndesamburo,shoto kabisa kule Mnyika,kulia Mdee....kaaazi ipoooo mwaka huu hapo mjengoni!
 
Back
Top Bottom