Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Zamani nilijua ni kwa sababu za kiusalama lakini baada ya kuiona dhamira njema iliyopo awamu hii ya SITA, siioni sababu ya Tundu Lissu kuendelea kuzurula Ubelgiji. Ni utumwa wa kifikra kudhani kwamba kwa jirani yako ni bora kuliko kwako.
Pamoja na sababu zote mimi nimeona nchi imetakasika sana . Mfano mzuri mwangalie Mbowe kwa sasa kajituliza zake kimya ni kwa sababu nchi imetakasika sana.
Nyinyi mnaoongea nae mwambieni arudi.
Pamoja na sababu zote mimi nimeona nchi imetakasika sana . Mfano mzuri mwangalie Mbowe kwa sasa kajituliza zake kimya ni kwa sababu nchi imetakasika sana.
Nyinyi mnaoongea nae mwambieni arudi.