Tundu Lissu nchi imetakasika rudi tuijenge pamoja. Unataka upigiwe magoti?

Tundu Lissu nchi imetakasika rudi tuijenge pamoja. Unataka upigiwe magoti?

Nadhani kwa nchi za Afrika Mashariki na kati na nchi za maziwa makuu kwa ujumla,hakuna watu wapumbavu kama watanzania.
Yaani mambo yanayoendelea nchini na jinsi ambavyo wanaact huwezi dhani.
Hii nchi inakatisha tamaa kuwa mpinzani.

Hii nchi akili za wananchi zimehamia kwenye Simba na Yanga, huko ndio unaweza kujadili bila kubambikiwa kesi.
 
Aliekwambia Lissu alisulubiwa na awamu ya tano Nani? Huyo alisulubiwa na wenye Chama Chao cha ukoo ambapo kila anaetishia maslahi ya Chama lazime akipate kulingana na dozi yake. Waulize mwenzake nyepesi.
Kwahiyo wewe unapingana na chama cha CCM wanao sema awamu ya tano ilikuwa ni hatari kwa usalama wa maisha ya watu????
 
Watu milioni 55 wameshindwa kujenga nchi mpaka Lissu aongezeke?
 
Back
Top Bottom