Aliekwambia lissu alisulubiwa na awamu ya tano Nani? Huyo alisulubiwa na wenye Chama Chao cha ukoo ambapo kila anaetishia maslahi ya Chama lazime akipate kulingana na dozi yake. Waulize kina tumbili na mwenzake nyepesi.
Nyie mijinga hamjui kuwa unatengenezewa situation.miguna alifanyaje unajua tatizo la miguna ndio maana huwa nawaita nguruwe nyinyi mapoyoyo ya lumumba.
Wewe umeelewaAliekwambia lissu alisulubiwa na awamu ya tano Nani? Huyo alisulubiwa na wenye Chama Chao cha ukoo ambapo kila anaetishia maslahi ya Chama lazime akipate kulingana na dozi yake. Waulize kina tumbili na mwenzake nyepesi.
Lissu hana time na nyie wafu tena, mwenzenu anapigwa risasi nyie mnakua busy na shughuli za akina Siamond na Simba na Yanga mfyuuu.... kama mna nguvu ya kugombea jezi kwanini msielekeze hizo nguvu kwenye kujenga nchi? Hovyo sana.Hata wewe lissu sio baba Yako Kwa hiyo ukae kimya wewe sio lisu
Wewe utakuwa kindergattenLissu hana time na nyie wafu tena, mwenzenu anapigwa risasi nyie mnakua busy na shughuli za akina Siamond na Simba na Yanga mfyuuu.... kama mna nguvu ya kugombea jezi kwanini msielekeze hizo nguvu kwenye kujenga nchi? Hovyo sana.
Pambana na hali yako ikiwezekana na baba yako acha mambo ya kimalaya.Wewe utakuwa kindergatten
Aache shobo, apambanie nchi sio kugombania jezi za simba,Pambana na hali yako ikiwezekana na baba yako acha mambo ya kimalaya.
Dhalimu wako si kafa?Simshauri arudi kwenye nchi hii ya makondoo. Kwa aina ya siasa zake na huu ukondoo uliotamalaki hapa nchini, huku viongozi wakiwa hawataki ukosoaji, naona ataishia matatizoni.
Sio kwamba mama ana nia njema, bali anatumia lugha ya kilaghai ili atawale bila bugudha. Na iwapo Lisu atarejea na kuanza siasa zake za kutokukubali ukondoo, ataishia jela tu.
Nadhani kwa nchi za Afrika Mashariki na kati na nchi za maziwa makuu kwa ujumla,hakuna watu wapumbavu kama watanzania.Kwanini usiijenge wewe na baba yako? Yaani Lissu aache mambo ya maana aje ashughulike na nyie mnaogombania jezi za simba kuliko katiba mpya?
Arudi kukaa na nyie apambanie kuona connections za Mange Kimambi?
Kama awamu ya sita ipo vizuri sio mbaya mkijenga nchi wewe, baba yako na bi Hangaya!