Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Unaweza kujiona genious lkn kumbe zero brain kabisa eti aende akaangalie mech nan kakuambia sisi tunaangaliaga mpira afu pili kazuiliwa kufanya kampen we ulitaka afanyaje
 
Kodi inakuwa yako ikiwa mfukoni mwako pumbaf ww. Ukishafanya malipo inakuwa mali ya Serikali.

Sasa Serikali ya CCM imejitaidi kuitunza na kuitumia kwa usahihi kodi yako kujenga miundombinu wewe unakunja Dera unabweka[emoji1782]
Ikikusanywa inakuwa ya JIWE? 🤣🤣 ,we BWEGE na MPUUZI mkubwa kabisa, kama ulikwenda shule utakuwa ulienda kusomea nini? "UJINGA "🤣🤣🤣🤣🤣.

I have seen a very poor reasoning from you, and you lack analtical skills.

Shame on you "DUDE " 🤣🤣🤣 naona una hamu ya KUFUMULIWA ile kitu....MARIN.......😁😁
 
Mgombea uraisi mbelgiji ambaye ni mkazi wa Dar es salaam ilipo mwendo kasi miaka lakini ambaye hajawahi panda na hajui mwendokasi ni nini hadi asilimuliwe na Dada Rachel msichana wa kichaga toka kwa Mbowe!

Mwendokasi tu Lisu hajui ni nini sembuse uraisi ndio ataujua
Hii serikali imejaza watendaji/viongozi wapumbavu sana kwa kumpa fomu ya kugombea urais mtu ambaye si raia wa nchi yetu,CCM haifai kuachwa madarakani tena.
 
Atapita kila kwa kila ilichotengeneza CCM roho inamuuma hadi anaugua tene
Ccm ina hela gani ya kutengenezea barabara, hizo hela ni kodi zetu. Kadanganye wajinga.
 
Huyu si ndio wakati yuko ulaya alikuwa anasema watanzania maelfu wanakufa kwa corona mbona anazunguka kwenye mkusanyiko bila kuvaa barakoa
 
Back
Top Bottom