Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Chakwera ametumwa na UN kuja kulishawishi hili jinga la hapa kuwa litachakazwa kipigo cha mbwa mwizi kama likicheza na demokrasia. Si unajua malawi walimaliza kwa amani na ustaarabu mkubwa. Wapuuzi wa desturi ni lazima waonywe!
Kumbe kamtafuta Chakwera Lazarius ili kuujua uzoefu?? Au Chakwera katumwa na UN?? Yote yanawezekana.
 
Imagine! Yaani Chadema unaweza sema hawajawahi hata kupita shule. Halafu amepanda kwenye Mwendokasi lakini wala hashobokewi.
Nilikuwepo kariakoo watu wanamshangaa kama wameona Simba mjini kisha wanaedelea na mambo yao!

Kwa akili ya Lisu alifikiri atakuta nyomi la watu limefunga mitaa huku wakimshangilia.

Mimi nilifikiri kajifunza jana kwamba watu hawana time nae.
 
Kwahiyo Lisu anaona umuhimu wa kutumia usafiri wa mwendokasi! Yeye si ndo anabwabwaja kuwa hakuna maendeleo yaliyofanyika chini ya CCM.....
 
Pole CCM mwenzangu. Umesahau Rais alipanda treni siku moja. Huko kunaitwa kujichanganya. Wale wagombea wetu wanaosugua kucha za warembo, kukuna nazi, kuosha vyombo, kupepeta mchele nao tusemeje? Tutafakari kabla hatujaandika.
 
Ni mwendo wa kukutana na kila raia kila kona, wakifunga mlango mmoja watu wanafungua mingine kumi na moja, CCM mtupishe mwaka huu, tumewachoka.

Kila anaekutana na Lissu lazima atabasamu, huo ndio mpango wa Mungu muweza alie juu asieshindwa na chochote.
Huo usafiri aliotumia ni maendeleo ya vitu au watu?. Manyumbu kazi mnayo, Oct 28 lazima drama ziishe.
 
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu. Naelekea Kariakoo”.


Kumbe Bwana Lissu anapenda vitu na maendeleo...tehteh
 
No single strategy alone can win a game. This is a Simba Yanga match. It's a No nonsense situation.
 
Hela gani ametoa kodi huyo?

Malipo yote ya ubunge pesa ametumia ulaya sasa hapo amechangia nini kwenye kodi?

Huko akipokuwa mbunge hana historia ya chochote alichokifanya kwa wananchi wa jumbo lake.

Akibisha mwambie ataje hata vitu viwili?
Wewe mbwa hujui hata akinunua maji amelipa kodi?Sijui vichwa vyenu vina matatizo gani?
 
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu. Naelekea Kariakoo”.


Haikumsaidia Lowasa hiyo njia. Watanzania watakusifu wakingia sanduku la kura wanakuchinja
 
Kwanza wewe si CHADEMA ni gamba, pili mbona antension ni kubwa tu,mwisho kuhusu hiyo mechi mbona ipo kwenye ratiba sijui umejuaje mwanawane.
 
Wewe mbwa hujui hata akinunua maji amelipa kodi?Sijui vichwa vyenu vina matatizo gani?
Wewe ukiwa kiongozi utawanyamazisha watu kwa risasi...hapa unatumia matusi ila tuseme mnapewa nchi angalau kwa dakika moja yaani itakuwa balaa
 
Atapita kila kwa kila ilichotengeneza CCM roho inamuuma hadi anaugua tene
Nilimuombea sana alipopata matatizo ya kushambuliwa apone haraka ili aje aone Tanzania inavyostawi baada ya yeye mwenyewe Lissu kuiombea mabaya Tanzania kuwa itemewe mate usoni na ulimwengu. Namshukuru Mungu amejibu maombi yangu katika muda muafaka.
 
European Union Delegation : Magufuli to win this election by 82%, Chadema -Tundu Lissu 14% other parties 4%, This sensor was conducted by staffs of European Union Delegation who was on the ground running the programme supervised by Kohen. It has been issued today.
Naona utafiti wa mataga ni noma.
Screenshot_2020-10-02-20-28-27-1.jpg
 
Back
Top Bottom