Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Serikali ngapi Duniani wanakula kodi za wananchi na hawajengi lolote kwaajili ya Taifa?

Hivi unaona Jealous gan kuipongeza Serikali ya CCM kwa matumizi mazuri ya kodi zetu kujenga miundombinu kama hii???
Naipongeza serikali ya tanzania
 
Maendeleo ya vitu sio mazuri, kho kho kho. Lissu Hoyee, Magufuli Hoyee.
 
Si yupo likizo wewe unateseka na nini? Je hao raia wa ndani ya mwendokasi sio wapigakura? Alafu kusema watu wa Dar wanaonyesha dharau kwa Lissu ni uwongo na uzushi uliopitiliza, Watu wa dar sio washamba na wala huwezi wadanganya kwa Tshirt na kofia! Wanajitambua na wapo levo ya juu sana katika siasa za upinzani, hii ndio sababu hata 2015 upinzani ulivuna majimbo mengi sana hapa kuliko CCM!
 
Lissu anajua kutonesha vidonda balaaa.🤣🤣🤣. Ngoja naniliii amalizane na Chakwera usikie Sirro na Mahera watavolipuka🤣🤣🤣
Mbona anakopi yaliyowahi kufanya na lowasa.Lowassa pia alipanda madaladala.
 
Utasikia Mwendokasi imesimamishwa kufanya kazi kwa siku 7 kutokana na matengenezo kwny barabara za mwendokasi.

European Union Delegation : Magufuli to win this election by 82%, Chadema -Tundu Lissu 14% other parties 4%, This sensor was conducted by staffs of European Union Delegation who was on the ground running the programme supervised by Kohen. It has been issued today.
 
Wewe mpuuzi kweli, kushinda Urais ni mikakati jombaa sio kwenda kubahatisha uwanjani kwa washabiki. Chama cha Mbowe hakina mikakati ya ushindi, na safari hii Timu yenye mikakati bora itashinda.
 
Kesho tu utaskia Jiwe anaenda mahali kwa bodaboda.

Ccm kwa mashindano hawajambo.
 
Sasa ndani ya basi watu watakuwa naye attention vipi,unataka warukeruke au,hujaona wengine wamepiganaye selfie,mbona imekaa tu vizuri
 
Huyu mtu huyu, sjawahi kumkubali na stokuja kumkubali hata nibakie peke yangu ktk msimamo huo kisiasa

Anajiona ni yeye pekee mwelewa na msomi kuliko wote Tz

Anajiona anajua kila kitu licha ya kushindwa kutoa mwelekeo wa kuishinda korona, makelele meeengi kuhusu MIGA yasiyo na ukweli wowote!

Makelele meeengi kuhusu uhusiano wa nchi yetu na mataifa mengine huku Magufuli akiendelea kupokea mabalozi wa nchi mbalimbali

Makelele meeengi kuhusu ujenzi wa nchi yetu unaohusisha vitu, huku akitumia Barabara zilezile anazozikataa zisijengwe!

Makelele meeengi hayana hata maana yoyote

Na cha kumuumiza zaidi''' anashindwa vibaya huyu baba!

JPM, Hana wa kumzuia nafasi yake!!
Mbona umeandika kinyonge sana relax

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Atapita kila kwa kila ilichotengeneza CCM roho inamuuma hadi anaugua tene
Hiyo ni kazi ya Chama na Serikali yoyote iliyoko na itakayokuwa madarakani. Kufanya maendeleo kwa wananchi sio hisani bali ni lazima kwa sababu ni kodi za wananchi na mikopo ambayo italipwa nao.
 
Akitoka apo aende kwenye fly over naona Kawa kama masanja kwenye kukagua miradi
 
Back
Top Bottom