Huyu mtu huyu, sjawahi kumkubali na stokuja kumkubali hata nibakie peke yangu ktk msimamo huo kisiasa
Anajiona ni yeye pekee mwelewa na msomi kuliko wote Tz,
Anajiona anajua kila kitu licha ya kushindwa kutoa mwelekeo wa kuishinda korona, makelele meeengi kuhusu MIGA yasiyo na ukweli wowote!
Makelele meeengi kuhusu uhusiano wa nchi yetu na mataifa mengine huku Magufuli akiendelea kupokea mabalozi wa nchi mbalimbali
Makelele meeengi kuhusu ujenzi wa nchi yetu unaohusisha vitu, huku akitumia Barabara zilezile anazozikataa zisijengwe!!
Makelele meeengi hayana hata maana yoyote
Na cha kumuumiza zaidi''' anashindwa vibaya huyu baba!!!
JPM, Hana wa kumzuia nafasi yake!!