Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Huyu mtu huyu, sjawahi kumkubali na stokuja kumkubali hata nibakie peke yangu ktk msimamo huo kisiasa

Anajiona ni yeye pekee mwelewa na msomi kuliko wote Tz,

Anajiona anajua kila kitu licha ya kushindwa kutoa mwelekeo wa kuishinda korona, makelele meeengi kuhusu MIGA yasiyo na ukweli wowote!

Makelele meeengi kuhusu uhusiano wa nchi yetu na mataifa mengine huku Magufuli akiendelea kupokea mabalozi wa nchi mbalimbali

Makelele meeengi kuhusu ujenzi wa nchi yetu unaohusisha vitu, huku akitumia Barabara zilezile anazozikataa zisijengwe!!

Makelele meeengi hayana hata maana yoyote

Na cha kumuumiza zaidi''' anashindwa vibaya huyu baba!!!

JPM, Hana wa kumzuia nafasi yake!!
Wewe umetupigia makelele tu hapa mbona? Maneno mengi, hoja sifuri. CCM mama yenu na baba yenu ni mmoja au ni vipi?
 
Jana alifanya kikao cha ndani huko Kibaha, nimecheki Youtube hiko kikao kimehudhuriwa na watu 70,000!
 
Bonge la idea akitoka kariakoo aende manzese then mlimani city,alikuwa na mpango wa kwenda taifa mechi ya simba na yanga,maccm yakaisogeza mbele
Lisu mikoani ndio wanamuwewesekea Dar es salaam mtu wa kawaida sana na wala hata misafara yake hakuna anayejali .Sema mikoani ushamba mwingi.Si unaona hata humo kwenye gari wala hawaoni kama kitu kikubwa
 
mikoani ndio wanamwewesekea Dar es salaam mtu wa kawaida sana na wala hata misafara yake hakuna anayejali .Sema mikoani ushamba mwingi.Si unaona hata humo kwenye gari wala hawaoni kama kitu kikubwa
Nani anayejali misafari ya Jiwe Dar es Salaam?
 
Sawa mkuu baada ya oktoba 28 tutakuwa humu humu
Jamaa keshafika kariakoo watu wameacha kazi zao wanamsindikiza kila anakokwenda.

Jipeni moyo tu hamna tena chakufanya.
 
Mungu yupi kakejeliwa? Msitake kuleta upotoshaji wa kijinga wakati kilichosemwa kuhusu Corona Kiko wazi. Usitake kumchanganya Mungu na siasa zenu za kiki.
Mlikejeli Magu aliposema tufunge na kuomba kwa siku tatu kwa ajili ya corona!

Sasa huyo Mungu mnaemtaja sasa hivi ni yule yule mliemuona si chochote wakati wa corona?
 
Jana alifanya kikao cha ndani huko Kibaha, nimecheki Youtube hiko kikao kimehudhuriwa na watu 70,000!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama wale wafuasi miloni 80 aliopata alipohudhuria hard talk ya bbc?
 
Lisu mikoani ndio wanamuwewesekea Dar es salaam mtu wa kawaida sana na wala hata misafara yake hakuna anayejali .Sema mikoani ushamba mwingi.Si unaona hata humo kwenye gari wala hawaoni kama kitu kikubwa
Dar waoga wengi na wanafiki ila wanampenda sana subiri tarehe 28, ujue dar wengi wameajiriwa, huyo muhutu alitujaza uoga tunaogopa kuonyesha hisia zetu kulinda vibarua ila lissu anakubalika
 
Usije ukavunja simu umenunuliwa na Polepole hiyo, wacheni hasira.
Hahahaaa haya, ila polepole hata hatujuani

Hizi simu za INFINIX ni shida, nimetafuta sehemu ya kubadilisha hiyo correction nimechoka, nilishazoea SONY na SAMSUNG.
 
Nenda kalete financial statement ya ccm ikionyesha kiasi cha pesa ilichotoa kugharamia huo mradi.
Ndio wanamwaga mitusi huku kumuona Lissu kwenye mwendokasi, wanajua wana kesi ya kujibu, sijui leo itakuwa zamu ya nani huko lumumba kutoa majibu.
 
Lisu mikoani ndio wanamuwewesekea Dar es salaam mtu wa kawaida sana na wala hata misafara yake hakuna anayejali .Sema mikoani ushamba mwingi.Si unaona hata humo kwenye gari wala hawaoni kama kitu kikubwa
Ahaaaa ahaaaa, ikifika wakati wa kura mnasema wapiga kura hawako mijini bali wako vijijini ambako ndio ccm inashindia. Ila wakati wa kiki inakuwa kinyume chake!
 
Atapita kila kwa kila ilichotengeneza ccm roho inamuuma hadi anaugua tene
We ni BONGOLALA kweli, hiyo ni KODI yetu.Sijapatata kuona poor seasoning kama yako.

Shame shame on you!🤣🤣
 
Back
Top Bottom