Ngandema Bwila
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 1,017
- 258
27% ya mshahara wangu inakatwa kodi, niknunua luku nakatwa kodi, nikilipia bill ya maji nalipa kodi, huo mwendo kasi wenyewe nauli yake kuna kodi, ukinunua maji unalipa kodi , ukinywa bia kuna kodi, Kwa hiyo kila Mtazania analipa kodi ndiyo zinazo kusanywa na serikali ( siyo CCM ) kujenga shule , vituo vya afya , kununua ndege na umeme. Mimi na wewe tunapaswa kuhoji ubora wa hivyo vitu vinavyo fanywa na serikali kwa fedha zatu. Inawezekana hufanyi kazi na unanuliwa vitu vyote ndio maana uanaona CCM imekufanyia hisani ya vitu vyoteAtapita kila kwa kila ilichotengeneza ccm roho inamuuma hadi anaugua tene