Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Habari wanajf, kama ilivyo kawaida nimejitolea kuwajuza kila linaloendelea kuhusu chama chetu na kushauri nini kifanyike ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea.
Nimeshtushwa sana na kushangazwa kwa jinsi ambavyo tunavyorudia mbinu zilezile kama zilizotumiwa na Lowassa 2015
Hii ya mgombea wetu kupanda mwendokasi haijakaa vizuri kwa kuwa wote tunafahamu ni kitu ambacho sio halisia(hajawaho kupanda kabla iweje sasa?)
Hii kwa watu wenye ufahamu tunaweza kuwakwaza kwa kuwa watajua hatupo serious.
Ninaomba chama kishauri na kitekeleze vitu ambavyo vinaweza kuleta tija na kuvuna watu wengi na wapiga kura wengi ila hili la kupanda mwendokasi HAPANA.
Kuna namna nyingi ya kuvuta attention za watu na kujizolea kura za bure kabisa. Mfano; kuna mechi ya somba vs yanga tarehe 18. Hapo anaweza kwenda uwanjani kama shabiki tu wa mpira na akavuna wapiga kura wengi tu kwa kuwa tukio la yeyr kwenda uwanjani ni halisi, sio hili la kupanda daladala/mwendokasi.
Pia bado ninaendelea na kushangazwa na watu wa Dar, kwa kuwa humo kwenye mwendokasi ni kama watu hawana habari vile, hii naweza kusema ni dharau kubwa sana watu wa dar mnayoionyesha na nashauri muache mara moja.
Chini nimeweka picha na video za humo kwenye mwendokasi

View attachment 1592903View attachment 1592904View attachment 1592905
Wewe ni mnafiki kama mchawi, inawezekana hata hauna data kwenye simu, watu wanampiga picha Lissu mpaka huyo mrembo hapo pembeni anaona aibu halafu wewe unaandika upuuzi wa lumumba hapa, usijipendekeze kwa Chadema we" kiazi.

Hata video ya sekunde 22 hauna mb za kuitazama?! halafu mnajidanganya uchumi wa kati.
 
Wewe ni mnafiki kama mchawi, inawezekana hata hauna data kwenye simu, watu wanampiga picha Lissu mpaka huyo mrembo hapo pembeni anaona aibu halafu wewe unaandika upuuzi wa lumumba hapa, usijipendekeze kwa Chadema wewe kiazi.
Mkuu kwa siasa hizi za Lisu, huyu tayari ni Lowasa part 2
 
Wewe ukajua mamako ndiyo msaliti pekee.. [emoji41][emoji41]
Haya matusi mtakuwa mmefundishwa huko lumumba, mbona wote mnafanana, wacheni hasira, huyo ndie Lissu mzee wa kutabasamu.
 
Habari wanajf, kama ilivyo kawaida nimejitolea kuwajuza kila linaloendelea kuhusu chama chetu na kushauri nini kifanyike ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea.
Nimeshtushwa sana na kushangazwa kwa jinsi ambavyo tunavyorudia mbinu zilezile kama zilizotumiwa na Lowassa 2015
Hii ya mgombea wetu kupanda mwendokasi haijakaa vizuri kwa kuwa wote tunafahamu ni kitu ambacho sio halisia(hajawaho kupanda kabla iweje sasa?)
Hii kwa watu wenye ufahamu tunaweza kuwakwaza kwa kuwa watajua hatupo serious.
Ninaomba chama kishauri na kitekeleze vitu ambavyo vinaweza kuleta tija na kuvuna watu wengi na wapiga kura wengi ila hili la kupanda mwendokasi HAPANA.
Kuna namna nyingi ya kuvuta attention za watu na kujizolea kura za bure kabisa. Mfano; kuna mechi ya somba vs yanga tarehe 18. Hapo anaweza kwenda uwanjani kama shabiki tu wa mpira na akavuna wapiga kura wengi tu kwa kuwa tukio la yeyr kwenda uwanjani ni halisi, sio hili la kupanda daladala/mwendokasi.
Pia bado ninaendelea na kushangazwa na watu wa Dar, kwa kuwa humo kwenye mwendokasi ni kama watu hawana habari vile, hii naweza kusema ni dharau kubwa sana watu wa dar mnayoionyesha na nashauri muache mara moja.
Chini nimeweka picha na video za humo kwenye mwendokasi

View attachment 1592903View attachment 1592904View attachment 1592905
Usiwe na wasiwasi anakwenda Kariakoo na pia mwacheni apumzike kidogo. Kuhusu watu wa Dar ni kweli wamelala sijui ni woga au uvivu manake wanajulikana kwa uvivu. Lakini bado tunawategemea kwani walifanya vizuri sana pale uwanja wa ndege.
 
Bonge la idea akitoka kariakoo aende manzese then mlimani city,alikuwa na mpango wa kwenda taifa mechi ya simba na yanga,maccm yakaisogeza mbele
Hiyo ya kupanda mabasi imemshusha hadhi hasa na ujue siasa marufuku ndani ya mabasi kwa SHeria za SUMATRA huruhusiwi kuhubiri dini au siasa ndani ya usafiri wa umma.
 
Hawa wagombea wote wasanii tu kikubwa piga kazi zako achana na kampeni, trh 28 piga kura huku ukiwaza kupiga kazi zako za kimaisha, lisu+magu (hawana mafanikio yako).
 
Huyu mtu huyu, sjawahi kumkubali na stokuja kumkubali hata nibakie peke yangu ktk msimamo huo kisiasa

Anajiona ni yeye pekee mwelewa na msomi kuliko wote Tz,

Anajiona anajua kila kitu licha ya kushindwa kutoa mwelekeo wa kuishinda korona, makelele meeengi kuhusu MIGA yasiyo na ukweli wowote!

Makelele meeengi kuhusu uhusiano wa nchi yetu na mataifa mengine huku Magufuli akiendelea kupokea mabalozi wa nchi mbalimbali

Makelele meeengi kuhusu ujenzi wa nchi yetu unaohusisha vitu, huku akitumia Barabara zilezile anazozikataa zisijengwe!!

Makelele meeengi hayana hata maana yoyote

Na cha kumuumiza zaidi''' anashindwa vibaya huyu baba!!!

JPM, Hana wa kumzuia nafasi yake!!
Mtanzania yoyote mwenye mapenzi mema kwa nchi yake hawezi mkubali
 
Vipi leo kwenye hutuba yake na Raisi wa Malawi ataongea kwa kutumia lugha gani? au atatumia ile aliyotumia kudefend thesis ya Phd?
Mkuu! Mfuatilie uone atatumia luga gani! Lakini pamoja na hayo, Lisu hawi rais hata apande guta
 
Usiwe na wasiwasi anakwenda Kariakoo na pia mwacheni apumzike kidogo. Kuhusu watu wa Dar ni kweli wamelala sijui ni woga au uvivu manake wanajulikana kwa uvivu. Lakini bado tunawategemea kwani walifanya vizuri sana pale uwanja wa ndege.
Watu wa DAR Lisu hawamtaki ule msafara wa Airport waliletwa watu toka mikoani

Yeye watu wake hawa hapa angalia msafara wake toka makao makuu ya CHADEMA kupitia ferry kwenda kigamboni hadi mbagala kwenye mkutano mkuu wa kwanza wa uzinduzi hakuwa na watu na njiani hakuna aliyehangaika naye ulikuwa unapita watu hawana habari nao,Lisu DAR hawamtaki ana force ila wenyewe hawataki ona msafara wake

Hiyo ni sim ndo inaleta ujinga nayo nitaiadhibu tarehe 28, mimi naandika vizuri yenyewe inabadilisha maneno.
Naiambia sitaki ujinga ujinga.
Usije ukavunja simu umenunuliwa na Polepole hiyo, wacheni hasira.
 
Mungu huyuhuyu mliemkejeli wakati wa maombi kipindi cha corona?

Mungu yupi kakejeliwa? Msitake kuleta upotoshaji wa kijinga wakati kilichosemwa kuhusu Corona Kiko wazi. Usitake kumchanganya Mungu na siasa zenu za kiki.
 
Back
Top Bottom