Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Afu badae tukutane kwenye jukwaa la CCM yule bwana aki tusaidia kutupigia kampeni kwa kutu taja taja
 
Ccm na tume wanatakiwa wajue kushulika na watu wenye akili kuwazidi. Ki ukweli tundu lisu amewazidi ccm, tume na polisi.
Hili ni fundisho kwa serikali, mnatakiwa kuwa na watendaji wenye upeo mkubwa was kufikiri na sio watiifu tu.
Serikali ilikosea sana kumuacha mtu kama tundu kutokuwa upande wake. Atawatesa sana
Mkuu hii ya Lisu ni akili?
 
BORA MAENDELEO KARIBU ZINAWARUDISHA WAZUNGU, WACHINA, WASOUTH KOREA + ERROR TERM TWENDELEE KUCHAPA KAZI MTUMWA ITAKUWA MTUKISS
 
Yule mganga uliyenipeleka kwake si ndio mamako mzazi, mwambie aache utapeli Mungu hapendi
Naona gamba lime-panic na bado, Lissu atawatoa kamasi mjaze mapipa.
 
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu.
Mgombea uraisi mbelgiji ambaye ni mkazi wa Dar es salaam ilipo mwendo kasi miaka lakini ambaye hajawahi panda na hajui mwendokasi ni nini hadi asilimuliwe na Dada Rachel msichana wa kichaga toka kwa Mbowe!

Mwendokasi tu Lisu hajui ni nini sembuse uraisi ndio ataujua
 
Huyu mtu huyu, sjawahi kumkubali na stokuja kumkubali hata nibakie peke yangu ktk msimamo huo kisiasa

Anajiona ni yeye pekee mwelewa na msomi kuliko wote Tz,

Anajiona anajua kila kitu licha ya kushindwa kutoa mwelekeo wa kuishinda korona, makelele meeengi kuhusu MIGA yasiyo na ukweli wowote!

Makelele meeengi kuhusu uhusiano wa nchi yetu na mataifa mengine huku Magufuli akiendelea kupokea mabalozi wa nchi mbalimbali

Makelele meeengi kuhusu ujenzi wa nchi yetu unaohusisha vitu, huku akitumia Barabara zilezile anazozikataa zisijengwe!!

Makelele meeengi hayana hata maana yoyote

Na cha kumuumiza zaidi''' anashindwa vibaya huyu baba!!!

JPM, Hana wa kumzuia nafasi yake!!
Hata usipomkubali haisaidii sisi kutokumkubali lazima sindano izame ipasavyo kwenye masaburi yako
 
Eti hii ndio strategy ya ushindi ya Lisu!
 
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu. Naelekea Kariakoo”.


KWELI MAMBO YA MAGU MNAYAKUBALI
 
Habari wanajf, kama ilivyo kawaida nimejitolea kuwajuza kila linaloendelea kuhusu chama chetu na kushauri nini kifanyike ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea.
Nimeshtushwa sana na kushangazwa kwa jinsi ambavyo tunavyorudia mbinu zilezile kama zilizotumiwa na Lowassa 2015
Hii ya mgombea wetu kupanda mwendokasi haijakaa vizuri kwa kuwa wote tunafahamu ni kitu ambacho sio halisia(hajawaho kupanda kabla iweje sasa?)
Hii kwa watu wenye ufahamu tunaweza kuwakwaza kwa kuwa watajua hatupo serious.
Ninaomba chama kishauri na kitekeleze vitu ambavyo vinaweza kuleta tija na kuvuna watu wengi na wapiga kura wengi ila hili la kupanda mwendokasi HAPANA.
Kuna namna nyingi ya kuvuta attention za watu na kujizolea kura za bure kabisa. Mfano; kuna mechi ya somba vs yanga tarehe 18. Hapo anaweza kwenda uwanjani kama shabiki tu wa mpira na akavuna wapiga kura wengi tu kwa kuwa tukio la yeyr kwenda uwanjani ni halisi, sio hili la kupanda daladala/mwendokasi.
Pia bado ninaendelea na kushangazwa na watu wa Dar, kwa kuwa humo kwenye mwendokasi ni kama watu hawana habari vile, hii naweza kusema ni dharau kubwa sana watu wa dar mnayoionyesha na nashauri muache mara moja.
Chini nimeweka picha na video za humo kwenye mwendokasi

View attachment 1592903View attachment 1592904View attachment 1592905
Ulitaka apande nini wakati akitumia usafiri wake mnawatuma police wamzuie kikubwa afike anakotaka kwenda
 
Back
Top Bottom