Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii ya Lisu ni akili?Ccm na tume wanatakiwa wajue kushulika na watu wenye akili kuwazidi. Ki ukweli tundu lisu amewazidi ccm, tume na polisi.
Hili ni fundisho kwa serikali, mnatakiwa kuwa na watendaji wenye upeo mkubwa was kufikiri na sio watiifu tu.
Serikali ilikosea sana kumuacha mtu kama tundu kutokuwa upande wake. Atawatesa sana
Mpaka nyumbani kwake ni CCM tuAtapita kila kwa kila ilichotengeneza ccm roho inamuuma hadi anaugua tene
Mungu huyuhuyu mliemkejeli wakati wa maombi kipindi cha corona?Kumbe ndio ile namba yako ya bahati uliyopewa na mganga, wenzio tuna Mungu anaeishi.
Yani hicho alichofanya ndio akili?LISSU ANA AKILI KULIKO MTU MWINGINE YEYOTE
Kuna makada wengi Sana wa CCM na viongozi wa kiroho wanatamani Sana kupiga picha ama kukutana na TL,lakini hofu ya kuwa 'detained' inawanyima haki yao.Hiyo fursa huenda unaitamani na unaweza usiipate maisha yako yote!
Naona gamba lime-panic na bado, Lissu atawatoa kamasi mjaze mapipa.Yule mganga uliyenipeleka kwake si ndio mamako mzazi, mwambie aache utapeli Mungu hapendi
Mgombea uraisi mbelgiji ambaye ni mkazi wa Dar es salaam ilipo mwendo kasi miaka lakini ambaye hajawahi panda na hajui mwendokasi ni nini hadi asilimuliwe na Dada Rachel msichana wa kichaga toka kwa Mbowe!“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu.
Hata usipomkubali haisaidii sisi kutokumkubali lazima sindano izame ipasavyo kwenye masaburi yakoHuyu mtu huyu, sjawahi kumkubali na stokuja kumkubali hata nibakie peke yangu ktk msimamo huo kisiasa
Anajiona ni yeye pekee mwelewa na msomi kuliko wote Tz,
Anajiona anajua kila kitu licha ya kushindwa kutoa mwelekeo wa kuishinda korona, makelele meeengi kuhusu MIGA yasiyo na ukweli wowote!
Makelele meeengi kuhusu uhusiano wa nchi yetu na mataifa mengine huku Magufuli akiendelea kupokea mabalozi wa nchi mbalimbali
Makelele meeengi kuhusu ujenzi wa nchi yetu unaohusisha vitu, huku akitumia Barabara zilezile anazozikataa zisijengwe!!
Makelele meeengi hayana hata maana yoyote
Na cha kumuumiza zaidi''' anashindwa vibaya huyu baba!!!
JPM, Hana wa kumzuia nafasi yake!!
Hapa ndio akili za kiumbe mweusi(mwafrika) zinaponichosha!! Sasa hizo pesa za kujenga hivyo ni za wana CCM tu? Hiyo mikopo inayotengeneza hiyo miundo mbinu italipwa na wana ccm tu?Atapita kila kwa kila ilichotengeneza ccm roho inamuuma hadi anaugua tene
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu. Naelekea Kariakoo”.
Mkuu Lisu anakuangusha sana kwa siasa zake hizi za LowasaUmeandika utoto gani hapa dogo?
Ulitaka apande nini wakati akitumia usafiri wake mnawatuma police wamzuie kikubwa afike anakotaka kwendaHabari wanajf, kama ilivyo kawaida nimejitolea kuwajuza kila linaloendelea kuhusu chama chetu na kushauri nini kifanyike ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea.
Nimeshtushwa sana na kushangazwa kwa jinsi ambavyo tunavyorudia mbinu zilezile kama zilizotumiwa na Lowassa 2015
Hii ya mgombea wetu kupanda mwendokasi haijakaa vizuri kwa kuwa wote tunafahamu ni kitu ambacho sio halisia(hajawaho kupanda kabla iweje sasa?)
Hii kwa watu wenye ufahamu tunaweza kuwakwaza kwa kuwa watajua hatupo serious.
Ninaomba chama kishauri na kitekeleze vitu ambavyo vinaweza kuleta tija na kuvuna watu wengi na wapiga kura wengi ila hili la kupanda mwendokasi HAPANA.
Kuna namna nyingi ya kuvuta attention za watu na kujizolea kura za bure kabisa. Mfano; kuna mechi ya somba vs yanga tarehe 18. Hapo anaweza kwenda uwanjani kama shabiki tu wa mpira na akavuna wapiga kura wengi tu kwa kuwa tukio la yeyr kwenda uwanjani ni halisi, sio hili la kupanda daladala/mwendokasi.
Pia bado ninaendelea na kushangazwa na watu wa Dar, kwa kuwa humo kwenye mwendokasi ni kama watu hawana habari vile, hii naweza kusema ni dharau kubwa sana watu wa dar mnayoionyesha na nashauri muache mara moja.
Chini nimeweka picha na video za humo kwenye mwendokasi
View attachment 1592903View attachment 1592904View attachment 1592905
Hapo anaona maendeleo ya vitu live bila chengaAtapita kila kwa kila ilichotengeneza ccm roho inamuuma hadi anaugua tene