Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

CCM na tume wanatakiwa wajue kushulika na watu wenye akili kuwazidi. Ki ukweli tundu lisu amewazidi CCM, tume na polisi.

Hili ni fundisho kwa serikali, mnatakiwa kuwa na watendaji wenye upeo mkubwa was kufikiri na sio watiifu tu.

Serikali ilikosea sana kumuacha mtu kama tundu kutokuwa upande wake. Atawatesa sana
 
Huyu mtu huyu, sjawahi kumkubali na stokuja kumkubali hata nibakie peke yangu ktk msimamo huo kisiasa

Anajiona ni yeye pekee mwelewa na msomi kuliko wote Tz

Anajiona anajua kila kitu licha ya kushindwa kutoa mwelekeo wa kuishinda korona, makelele meeengi kuhusu MIGA yasiyo na ukweli wowote!

Makelele meeengi kuhusu uhusiano wa nchi yetu na mataifa mengine huku Magufuli akiendelea kupokea mabalozi wa nchi mbalimbali

Makelele meeengi kuhusu ujenzi wa nchi yetu unaohusisha vitu, huku akitumia Barabara zilezile anazozikataa zisijengwe!

Makelele meeengi hayana hata maana yoyote

Na cha kumuumiza zaidi''' anashindwa vibaya huyu baba!

JPM, Hana wa kumzuia nafasi yake!!
 
Waliahasisha kuikimbia bajeti ya kitaifa sasa wanajifanya wanajua kumbe hakuna lolote

Mlitaka mfanyie nini kodi za watanzania?Mbona akili zenu ni za hovyo namna hii?

Lissu akiwa Rais na CDM ikatekeleza ilani yake,wanaCCM hamtatumia kwasababu imeletwa na CDM?
Mmebakiza akili za kuvukia barabara tu!
 
Lissu anakula neema za serikali ya CCM.

Serikali nimefanya kazi sio mchezo, ni kazi hasa.
 
Atakunywa chai kama Lowasa kwa mama ntilie na kupanda daladala lakini atabaki hivyo hivyo tu.

Mwambie akamuulize Lowasa baada ya uchaguzi bado anapanda daladala au kunywa chai kwa mama ntilie?
Wasituzuge sisi wananchi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Maendeleo ya vitu
 
Lissu anajua kutonesha vidonda balaaa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ngoja naniliii amalizane na Chakwera usikie Sirro na Mahera watavolipuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vidonda vipi mkuu?

Lowasa alipanda hadi daladala za gongo la mboto.
 
Si alisema maendeleo ni watu siyo vitu, kwanini asingepanda baiskeli?
 
Nimekuuliza,mlitaka asitumie miundombinu ambayo hata yeye mwenyewe sehemu ya kodi yake imetumika kuijenga?Akili za wapi hizi?
Hela gani ametoa kodi huyo?

Malipo yote ya ubunge pesa ametumia ulaya sasa hapo amechangia nini kwenye kodi?

Huko akipokuwa mbunge hana historia ya chochote alichokifanya kwa wananchi wa jumbo lake.

Akibisha mwambie ataje hata vitu viwili?
 
Habari wanajf, kama ilivyo kawaida nimejitolea kuwajuza kila linaloendelea kuhusu chama chetu na kushauri nini kifanyike ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea.
Nimeshtushwa sana na kushangazwa kwa jinsi ambavyo tunavyorudia mbinu zilezile kama zilizotumiwa na Lowassa 2015
Hii ya mgombea wetu kupanda mwendokasi haijakaa vizuri kwa kuwa wote tunafahamu ni kitu ambacho sio halisia(hajawaho kupanda kabla iweje sasa?)
Hii kwa watu wenye ufahamu tunaweza kuwakwaza kwa kuwa watajua hatupo serious.
Ninaomba chama kishauri na kitekeleze vitu ambavyo vinaweza kuleta tija na kuvuna watu wengi na wapiga kura wengi ila hili la kupanda mwendokasi HAPANA.
Kuna namna nyingi ya kuvuta attention za watu na kujizolea kura za bure kabisa. Mfano; kuna mechi ya somba vs yanga tarehe 18. Hapo anaweza kwenda uwanjani kama shabiki tu wa mpira na akavuna wapiga kura wengi tu kwa kuwa tukio la yeyr kwenda uwanjani ni halisi, sio hili la kupanda daladala/mwendokasi.
Pia bado ninaendelea na kushangazwa na watu wa Dar, kwa kuwa humo kwenye mwendokasi ni kama watu hawana habari vile, hii naweza kusema ni dharau kubwa sana watu wa dar mnayoionyesha na nashauri muache mara moja.
Chini nimeweka picha na video za humo kwenye mwendokasi

View attachment 1592903View attachment 1592904View attachment 1592905
Acha akutane na raia, sasa unataka ajifungie chumbani?
 
Back
Top Bottom