Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #521
Kwa hiyo Mkuu babu M , nianze kujiandaa kupokea $1500?.MsemajiUkweli,
Tundu Lissu kama atagombea ubunge na akashinda nipo tayari to donate $1500 to Pascal's chosen charity or cause!!
Some people have been fooled by ongoing dramas by the rulling government to the extent that, they think no one else can make a better president than JPM...It is clearly visible that Hon Tundu Lissu Is far better than Jpm In aspects of
1.Rule of Law
2.Intergrity
3.Honest and great respect
Aspects which JPM lacks
All in All CONSTITUTION change is needed no matter what to prevent any incoming Authoritarian rule
Unamaanisha inawezekana ilikuwa Ni wivu baada ya jamaa kutajwa ana uthubutu kuliko yeye, na ndiye anaweza kumchalenge mkubwa, hivyo akaona aondoe kikwazo mapema?Uzi ulianzishwa july 24,2017...Septemba 7,2017 Lissu akamiiniwa risasi.🤔
Vijiji vya aina hiyo vimebakia vichache Sana. Nchi yetu Sasa ina muingiliano mkubwa Sana wa watu toka mjini na wale wa vijijini. Hilo la kukosa uelewa wa Mambo yanayoendelea kama lipo basi ni kwa uchache sanaShida ni huko vijijini bado hawelewi.,, bado hawajui hata kama Tanzania kuna vyama vingi.
Hao ndo watatusumbua kwenye uchaguzi huu.
Tundu lissu 2020
OMG!Tundu Lissu can express himself or address the public in English even at International level while Magufuli for the last 5 years of his tenure proved a total failure on this! How can a president build an
it's obvious that the great number of CCM cadres have been Collectively embecilized by media propagandas to the extent that even a black object is seen as White by them.Owen Chimela
Well said brother! I totally concur with all your points.
Just to shade some lights in regard to Tundu viz-a-viz Magufuli.
- Lissu is a Professional Lawyer while Magufuli is a Professional Chemist. It's very unfortunate that Tanzania has chosen to make a Leader/ President who is a chemist/ scientist!
- Tundu Lissu can express himself or address the public in English even at International level while Magufuli for the last 5 years of his tenure proved a total failure on this! How can a president build an International/Foreign relationship without paying a visit to any of our donor countries? Something somewhere must be very wrong.
Sumaye yupo wapi sasa?Hivi kwanini mnajitoa akili? Hizo nyumba za selikali aliuza chini ya boss wake Sumaye, na mnae huko chadema, mfukuzeni huko ili tujue kweli hicho chama chenu hakilei mafisadi
it's obvious that the great number of CCM cadres have been Collectively embecilized by media propagandas to the extent that even a black object is seen as White by them.
In addition they have not given their brains the power of free critising and appraising rather they remain static to receive new ideas..
TL is the best candidate so far in every aspect
Nasikia alivyotimuliwa CDM akahamia SAU ndo anayewasaidia kuandika malalamiko dhidi ya Lissu.Sumaye yupo wapi sasa?
sijui.Unamaanisha inawezekana ilikuwa Ni wivu baada ya jamaa kutajwa ana uthubutu kuliko yeye, na ndiye anaweza kumchalenge mkubwa, hivyo akaona aondoe kikwazo mapema?
Surely the five years under Magufuli has clearly proved to us that everyone needs to be given a job post that commensurate with his/her abilities and experience. Nothing short of that.
Nipo nje ya Tanzania hiki kipindi cha uchaguzi. Nimeamishia ahadi yangu kwenye uraisi. Hata angukia pia. Wapinzani uchaguzi huu wana wakati mgumu sana. Hata kwenye ubunge watapoteza wengi sana, hata majina makubwa!!Kwa hiyo Mkuu babu M , nianze kujiandaa kupokea $1500?.
The charity niliozipangia ni kununualia handkerchiefs, za kufutia watu machozi maana tissues zitalowa!.
P
Ama huna taarifa sahihi, au una pretend!Nipo nje ya Tanzania hiki kipindi cha uchaguzi. Nimeamishia ahadi yangu kwenye uraisi. Hata angukia pia. Wapinzani uchaguzi huu wana wakati mgumu sana. Hata kwenye ubunge watapoteza wengi sana, hata majina makubwa!!
Angalia mikutano ya Mrema ya uchaguzi 1995 na sasa hivi! Upinzani utaanza kulia lia baada ya 28 na kusema Lissu ndio raisi. Lakini tumesikia miaka hata Uchaguzi uliopita walisema hivyo hivyo!!Ama huna taarifa sahihi, au una pretend!