Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

MsemajiUkweli,

Tundu Lissu kama atagombea ubunge na akashinda nipo tayari to donate $1500 to Pascal's chosen charity or cause!!
Kwa hiyo Mkuu babu M , nianze kujiandaa kupokea $1500?.
The charity niliozipangia ni kununualia handkerchiefs, za kufutia watu machozi maana tissues zitalowa!.
P
 
Some people have been fooled by ongoing dramas by the rulling government to the extent that, they think no one else can make a better president than JPM...It is clearly visible that Hon Tundu Lissu Is far better than Jpm In aspects of
1.Rule of Law
2.Intergrity
3.Honest and great respect
Aspects which JPM lacks

All in All CONSTITUTION change is needed no matter what to prevent any incoming Authoritarian rule

Owen Chimela,
Well said brother! I totally concur with all your points.
Just to shade some lights in regard to Tundu viz-a-viz Magufuli.
  1. Lissu is a Professional Lawyer while Magufuli is a Professional Chemist. It's very unfortunate that Tanzania has chosen to make a Leader/ President who is a chemist/ scientist!
  2. Tundu Lissu can express himself or address the public in English even at International level while Magufuli for the last 5 years of his tenure proved a total failure on this! How can a president build an International/Foreign relationship without paying a visit to any of our donor countries? Something somewhere must be very wrong.
 
Shida ni huko vijijini bado hawelewi.,, bado hawajui hata kama Tanzania kuna vyama vingi.
Hao ndo watatusumbua kwenye uchaguzi huu.

Tundu lissu 2020
Vijiji vya aina hiyo vimebakia vichache Sana. Nchi yetu Sasa ina muingiliano mkubwa Sana wa watu toka mjini na wale wa vijijini. Hilo la kukosa uelewa wa Mambo yanayoendelea kama lipo basi ni kwa uchache sana
 
Owen Chimela
Well said brother! I totally concur with all your points.
Just to shade some lights in regard to Tundu viz-a-viz Magufuli.
  1. Lissu is a Professional Lawyer while Magufuli is a Professional Chemist. It's very unfortunate that Tanzania has chosen to make a Leader/ President who is a chemist/ scientist!
  2. Tundu Lissu can express himself or address the public in English even at International level while Magufuli for the last 5 years of his tenure proved a total failure on this! How can a president build an International/Foreign relationship without paying a visit to any of our donor countries? Something somewhere must be very wrong.
it's obvious that the great number of CCM cadres have been Collectively embecilized by media propagandas to the extent that even a black object is seen as White by them.

In addition they have not given their brains the power of free critising and appraising rather they remain static to receive new ideas..
TL is the best candidate so far in every aspect
 
Leo Jiwe anaomba poo na kuomba msaada tume, ofisi ya msajili na polisi ili kupambana na Lisu na bado ngoma inogile.
Huku site kila mmoja tumaini lake pekee lipo kwa Lissu.

Watz wamechoshwa na siasa za vitisho, utekaji, kubambikwa kesi na kila aina ya udhalimu na uonevu.

Hali ngumu ya maisha ya watz,ni vilio kila kona. Wavuvi, wakulima,wafanyabiashara, watumishi, wafugaji wote wanalia na hawa ndio mtaji wa Lisu na awamu hii wizi wa kura hauna nafasi.
 
it's obvious that the great number of CCM cadres have been Collectively embecilized by media propagandas to the extent that even a black object is seen as White by them.
In addition they have not given their brains the power of free critising and appraising rather they remain static to receive new ideas..
TL is the best candidate so far in every aspect

Truly.
Magufuli has no any qualication to be a presidential material. I remember the words by Kingunge Ngombare Mwiru(rip) during the 2015 General Election that John Pombe Magufuli was supposed to be a TANROAD Manager and not a President...!!!
 
Surely the five years under Magufuli has clearly proved to us that everyone needs to be given a job post that commensurate with his/her abilities and experience. Nothing short of that.
 
Surely the five years under Magufuli has clearly proved to us that everyone needs to be given a job post that commensurate with his/her abilities and experience. Nothing short of that.

Correct!!.....given job post that commensurate with abilities &experience....!! Not professionally based. Live examples:
  1. Ummy Mwalimu(Mass Media)....Ministry of Health.
  2. Dr. Hussein Mwinyi(Health Doctor).....Ministry of Defence.
  3. Prof. Kabudi(Laws).... Ministry of Foreign Affairs.
  4. The late Dr. Mahiga( International relations).....Ministry of Internal Affairs.
  5. etc,etc!
 
Kwa hiyo Mkuu babu M , nianze kujiandaa kupokea $1500?.
The charity niliozipangia ni kununualia handkerchiefs, za kufutia watu machozi maana tissues zitalowa!.
P
Nipo nje ya Tanzania hiki kipindi cha uchaguzi. Nimeamishia ahadi yangu kwenye uraisi. Hata angukia pia. Wapinzani uchaguzi huu wana wakati mgumu sana. Hata kwenye ubunge watapoteza wengi sana, hata majina makubwa!!
 
Ama huna taarifa sahihi, au una pretend!
Angalia mikutano ya Mrema ya uchaguzi 1995 na sasa hivi! Upinzani utaanza kulia lia baada ya 28 na kusema Lissu ndio raisi. Lakini tumesikia miaka hata Uchaguzi uliopita walisema hivyo hivyo!!
 
Back
Top Bottom