Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Mkuu JERRY , next time, ukichukua maoni ya mtu, it's good ukionyesha na source na link ili wale wenye muda, wakasome the context ya maoni hayo, maana sisi wengine siku hizi tumekuwa makada, ukiweka maoni bila links, watu kuijua context ya maoni hayo, utapelekea wafia chama kujiuliza huyu ni kada wa type gani?!.

P.
 
Hahahahaha, asimame tu, yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.
Msimamo wako umebadilika kwa speed ya light

Mgombea wetu wa CCM akiwa Zanzibar anawaeleza Wazanzibar kuwa wasiondoke uwanjani hapo maana akimaliza hotuba bado Kuna show kabambe kutoka kwa wasanii na watamuona nae akicheza.... Wazenji nao viburi wakaondoka wakati anazungumza. Aisee!
 
Maui
 
Angalia mikutano ya Mrema ya uchaguzi 1995 na sasa hivi! Upinzani utaanza kulia lia baada ya 28 na kusema Lissu ndio raisi. Lakini tumesikia miaka hata Uchaguzi uliopita walisema hivyo hivyo!!
Ungefanya kwanza situational analysis.
 
Kumbe pamoja na ukada wako, unaweza sema kweli. hiyo sentesi ya mwisho ni KWELI.. Kongole kwa kutambua na kukiri hilo hadharani
 
Kibri+kuendesha nchi bila kodi+kutaka kuwa juu ya sheria huku akilalama watawala hawafuati sheria vina mushikeli.
Mkuu Madam Mwajuma , kama Tundu Lissu ana mushkeli, vipi wanaopanga kumchagua kiongozi mwenye mushkeli, watakuwa ni timamu kweli au nao wana mushkeli?.
P
 
Mkuu Madam Mwajuma , kama Tundu Lissu ana mushkeli, vipi wanaopanga kumchagua kiongozi mwenye mushkeli, watakuwa ni timamu kweli au nao wana mushkeli?.
P
Ujue mambo ya kuchagua wanasiasa yana sababu nyingi: mapenzi tu yale yasiyo na sababu kwa mgombea, kumchagua tu ili mwingine asishinde, kupima uwezo wake, kuzingatia mahitaji ya nchi kwa wakati huo ama kupima mahitaji binafsi. Wacha wajigaragaze wachague wampendaye ni haki ya kila mtanzania.
" mchuma janga hula na nduguze"
 
Mkuu Madam Mwajuma , kwavile watu tumetofautiana uoni, vision, ukitokea wewe una uoni mkubwa, unaona mtu fulani ni janga, lakini kuna watu wa kwenu, wanamshabikia bila kujua ni janga, jee utawaacha tuu wachume janga, au angalau utawaonya na kuwapa angalizo kuwa huyo mnaemshabikia ni janga, mkimchagua ni sawa na mchuma janga, au utawaacha tuu wamchague wampendaye kwasababu ni haki yao ya kidemokrasia kumchagua yoyote wanayempenda hata kama ni janga?, na unajua kabisa mchuma janga hula na wakwao?.

Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?!

Tena wengine wetu kama akina sisi, kutoa maangalizo, tumeanza kitambo

Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

 
Nilipenda sana makala na hoja zake zikigusa maeneo mengi. Leo ni upande mmoja tu kusifia.
Nikiona makala yake huwa nasoma tu kichwa naishia.
Mkuu Mzamifu, karibu katika makala hii, uangalie jinsi ninavyomsifu Tundu Lissu!. Jee wajua kuwa kuna uwezekano makala hii pia ilichangia kumfanya Tundu Lissu agombee?
P
 
Mkuu Mzamifu, karibu katika makala hii, uangalie jinsi ninavyomsifu Tundu Lissu!. Jee wajua kuwa kuna uwezekano makala hii pia ilichangia kumfanya Tundu Lissu agombee?
P
Kumbe Mayalla ulihusika kuiingiza Chadema mkenge?? Maana tumeona jinsi Lissu alivyoitenda Chadema. Alikuja, akazunguka nchi nzima kumwaga nyongo binafsi kwa kutumia mgongo wa Chadema (badala ya kuiuza Chadema na sera zake) alafu akatimkia zake Ulaya kula bata kwa jasho la wazungu, huku Chadema imebaki chali.

Na kwavile sasa umejinasibu kama kada ya CCM, ni dhahiri kazi uliyopewa kufanya kupitia JamiiForum, uliikamilisha vikamilifu. Hongera sana. Umebaki zawadi yako ya uteuzi.
 
Kuna watu satellites zenu hazina signal kabisa!
 
Mkuu @TOMUNOTIKATI, pole sana kwa kudhani ushauri wangu ni project, watu wenye kazi zao, mko nao humo humo ndani mwenu!.
Hili la kudhani CCM ndiye adui yenu mkuu ndicho kitu pekee kinachoikosesha Chadema Ikulu.
P
 
[emoji15]
 
Enzi hizo mguu wa mkuu ulilambwa sanaaaaaaa[emoji849][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…