Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Mbona keshasema kuwa chini ya Tume hii na katiba hii , akiwa Mwenyekiti hawatoingia kwenye uchaguzi?Kazi iendelee 2025?, TL ndie asimame na Samia?.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona keshasema kuwa chini ya Tume hii na katiba hii , akiwa Mwenyekiti hawatoingia kwenye uchaguzi?Kazi iendelee 2025?, TL ndie asimame na Samia?.
P
Tuungane kumu wish Tundu Lissu all the best kesho.Wanabodi,
Lakini kwa mwenendo na matamshi ya Tundu Lissu ya hivi karibuni kumhusu Magufuli, kwa maoni yangu, kwa hapa tulipo, ukimuondoa Zitto ambaye he looks a bit compromised, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani aliyeonyesha angalau uwezo wa kuweza kumkabili mgombea wa CCM kwa Uchanguzi Mkuu wa 2020, Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwenye Uchaguzi huo wa 2020 na Magufuli ukapata pata angalau kaji joto joto cha uchaguzi, vinginevyo wapinzani wakimsimamisha mgombea mwingine yoyote, mgombea wa CCM, Dr John Pombe Joseph Magufuli, hahitaji kufanya kampeni yoyote, ni ushindi wa kishindo straight forward kwa kwenda mbele kama ameokota embe dodo bivu chini ya mti wa mwambe!.
Kwa jinsi nilivyomsikia Tundu Lissu na namna anavyoongea, then huyu Tundu Lissu ni typical yuko kama Magufuli type tena yeye ni zaidi ya Magufuli!.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Paskal ww ni team CCM au CDM?Tuungane kumu wish Tundu Lissu all the best kesho.
YEYE atatenda!
Sema Amen!.
Ushindi wa Tundu Lissu kesho ni muhimu ili October, YEYE aonyeshe uwezo wake kwa kulifanya lile jiwe lililokataliwa na waashi, YEYE atalifanya kuwa jiwe kuu la pembeni!.
P
Hili ni bandiko la chuki?.Nyie wazee wa JF wengi mna chuki na Lissu shida nini??