Pre GE2025 Tundu Lissu ndiye Rais ajaye baada ya Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

herrykuwe

Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
37
Reaction score
49
Kila ninapomtazama TAL na aliyoyapitia na anayoyapitia sasa hivi naona miaka si mingi anakuja kuwa President wa Jamhuri hii .

Sina tangible reasons msije kunikaba lakini kuna vitu katika dunia hutokea tu ili kuwaonesha wanadamu kuwa yupo mpangaji wa mambo tofauti na vile tunavyojiaminisha kuwa CCM imeshajichimbia Mizizi hivyo haiwezi ng'oka.

OVA
 
Anafaa kabisa na mafisadi yote yatahamia "Burundi" 😀
Na utakuwa mwisho wa utekaji nyara na mauaji ya "wale jamaa"
 
Labda ahame chadema, huko huruhusiwi kung'ara kupita mwenyekiti
 
Tundu Lisu kama Duma Boko wa Botwana, na zaidi kama Don Trump!
 
Rais wa TFF au TLS gentleman?🐒
 
yaani kuna urais wa kupewa kwa kuonewa huruma? aache ujinga kwanza ni msalityi kishamsaliti mbowe anamuita mla rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…