Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni aina ya binadamu ambao ukiwa nao lazima ufuate anachotaka, usipotaka utasumbuka

Ulipoanza ni sawa, Tundu ni mtu ambaye ana asili ya udikteta..anapenda watu wafuate anachotaka au anachopenda yeye..

Ukitofautiana nae wewe unakuwa adui yake. Mfano ni zitto kabwe, dr. Silaa na wengineo.

Magufuli na mahakama si kama inafata anachotaka. Kumbuka huyu jamaa kila anachofanya, mawasiliano yake na kila kitu serikali inakijua.

Kwa sasa ameonekana hana madhara yoyote. Kumbuka kabla hajatandikwa risasi huyu jamaa alikuwa anafanya mawasiliano na makampuni makubwa na watu waliokuwa na migogoro na serikali ili serikali ishindwe na mwishowe apige hela.
Kumbuka mawasiliano yake ya siri na acacia wakati serikali imeibana Acacia. Alijaribu hadi kuitishia serikali kushitakiwa MIGA.

Lakini ikitokea anafanya mawasiliano yoyote ya kutishia amani ya nchi au usalama basi hutaona anamaliza round. Kwa sasa amebaki kulalama na kumlaumu magufuli akitumia ujinga wa baadhi ya watanzania aliowaacha kipindi kile. Ila kwa sasa wengi wameamka na vyombo vya habari vimemuonya kuwa vitatangaza sera sio matusi na kejeli za kwenye vilabu vya komoni au chibuku.
We ndio wale wale,we mwenyew unehadidhiwa tu.
 
Kwanini wamdhibiti wakati na wao ni wagombea tu yaani mgombea unaanza kumdhibiti mwenzako badala kutangaza sera zako kwetu wananchi ili tuweze kuwapima na kuamuwa nani atuongoze. Subirini muziki kampeni zikianza ndo mtafahamu kuwa watu wachoka huu udicteta
Ila Lisu anatusumbua sana wanaccm, sijui tutumie njia ipi kumdhibiti huyu jamaa.
 
Ulipoanza ni sawa, Tundu ni mtu ambaye ana asili ya udikteta..anapenda watu wafuate anachotaka au anachopenda yeye..

Ukitofautiana nae wewe unakuwa adui yake. Mfano ni zitto kabwe, dr. Silaa na wengineo.

Magufuli na mahakama si kama inafata anachotaka. Kumbuka huyu jamaa kila anachofanya, mawasiliano yake na kila kitu serikali inakijua.

Kwa sasa ameonekana hana madhara yoyote. Kumbuka kabla hajatandikwa risasi huyu jamaa alikuwa anafanya mawasiliano na makampuni makubwa na watu waliokuwa na migogoro na serikali ili serikali ishindwe na mwishowe apige hela.
Kumbuka mawasiliano yake ya siri na acacia wakati serikali imeibana Acacia. Alijaribu hadi kuitishia serikali kushitakiwa MIGA.

Lakini ikitokea anafanya mawasiliano yoyote ya kutishia amani ya nchi au usalama basi hutaona anamaliza round. Kwa sasa amebaki kulalama na kumlaumu magufuli akitumia ujinga wa baadhi ya watanzania aliowaacha kipindi kile. Ila kwa sasa wengi wameamka na vyombo vya habari vimemuonya kuwa vitatangaza sera sio matusi na kejeli za kwenye vilabu vya komoni au chibuku.
Mtaongea propaganda zote mwaka huu. Huyo ndo Lissu 😂😂😂😂
 
anatafuta attention ya kijinga anaishia kupigwa mawe, nashangaa kwann hakuna ata jiwe moja lilimpata kule kilimanjaro! ila mda bado tunao wakati wa kampeni kurusha mawe
😂😂😂😂 si kwa kupanic huko!!! Huyo ndo Lissu kama Lissu
 
Mulimpiga risasi mungu kawapamoja nae
 
Kwanini wamdhibiti wakati na wao ni wagombea tu yaani mgombea unaanza kumdhibiti mwenzako badala kutangaza sera zako kwetu wananchi ili tuweze kuwapima na kuamuwa nani atuongoze. Subirini muziki kampeni zikianza ndo mtafahamu kuwa watu wachoka huu udicteta
Hiyo lugha ya "wamdhibiti" inaonesha jinsi watz tulivyo watu wa hovyo. Uchaguzi gani watu wanaona sawa kudhibitiana kwa kutumia dola na vyombo kama tume maslahi ya walio msdarakani ?
 
😂😂😂😂 si kwa kupanic huko!!! Huyo ndo Lissu kama Lissu

sasa umpanikishe nan, uyo tutamamalizia sisi wenyewe wananchi, ngja si atakuja kufanya kampeni tutamuonyesha: ya juzi si aliponea halikumpata safari hii hatufanyi makosa tena
 
Kwa kweli namuonea huruma sana Rais wangu mpendwa mtetezi wa wanyonge John Joseph Magufuli. Namuonea huruma kwa usumbufu unaompata kwa tatizo ambalo angeweza kulidhibiti mapema. Tundu Lissu ni tatizo kubwa sana kwa Rais wetu. Bisha, pinga na tukana ukweli ndio huo.

KWA NINI LISSU NI TATIZO?
Kiasili watu aina ya Lissu ni SUPEREGO mbaya zaidi mungu kamuongezea very smart brain. Watu wa sampuli hii huwa hawaamini waliowazunguka ni bora zaidi yao hivyo hukuchukulia kama underdog tu. Ukosoaji wote wa Lissu kwa Magufuli ni vile Lissu haamini kama Magufuli ni bora zaidi yake basi humuona tu kama underdog.

1. Usumbufu wa Lissu muulize mama Anna Makinda, atakupa feedback

2. Kikwete alimuelewa Lissu ni aina ya MTU gani na aliwahi kusema ni bora achaguliwe Slaa kuwa Rais lakini Lissu asiwe mbunge, kwa nini?

3. Hata waliompiga risasi ni dhahiri walimuelewa Lissu sema hawakujua njia sahihi ya kupambana nae.

4. Hata NEC sasa inamfuata

5. Angalia mahakama ana kesi sita zote zinamfuata.

6. Angalia hata CHADEMA Leo yote inamfuata anachopanga, bila Lissu unafikiri CHADEMA kingemwekea Magufuli pingamizi?

KOSA ALILOLIFANYA MAGUFULI.
Mpaka ninapoandika 7000hrs Magufuli ameshafanya kosa la kuruhusu usumbufu. Hebu niambie unafikiri majina ambayo yanamyima usingizi linaloongoza ni jina la nani?. Kuepuka huu usumbufu alipaswa kuhakikisha Lissu atoboi kwa tume, au zile mahakama zenye makesi yake yangetumika kumdhibiti. Amini maandishi yangu, kumuacha Lissu agombee kunainufaisha CHADEMA kwa kiwango kikubwa sana. Hata akinyimwa urais Lissu ataongeza idadi kubwa ya wabunge, Lissu ni kama mganga aliyeletwa kufufua wafu, wapiga kura wengi walikuwa sawa na wafu sasa wanapata hamasa ya uhai kutoka kwa Lissu.

OMBI KWA CHADEMA.
Kwa aina ya siasa ya uhuni zinazofanyika sasa hivi Lissu alipaswa kuwa mwenyekiti, MBOWE ukitaka CHADEMA ikabiliane na siasa za uharamia baada ya uchaguzi mkabidhi uwenyekiti Lissu wewe bakia mlezi wa chama

Bado nina imani tume na Rais, CCM mnanafasi ya kumdhibiti kupitia kampeni.
Haaa, yani bado unawashauri wamdhibiti wakati tayari Kuna Kesi zinaenda kufunguliwa the hague dhidi ya Magufuli, Ibrahim Juma, Ndugai na Simon Sirro? Kesi za Uhalifu dhidi ya binadamu, Unataka umzamishe kabisa Magufuli? mbona Huna huruma aisee
 
Kwa kweli namuonea huruma sana Rais wangu mpendwa mtetezi wa wanyonge John Joseph Magufuli. Namuonea huruma kwa usumbufu unaompata kwa tatizo ambalo angeweza kulidhibiti mapema. Tundu Lissu ni tatizo kubwa sana kwa Rais wetu. Bisha, pinga na tukana ukweli ndio huo.

KWA NINI LISSU NI TATIZO?
Kiasili watu aina ya Lissu ni SUPEREGO mbaya zaidi mungu kamuongezea very smart brain. Watu wa sampuli hii huwa hawaamini waliowazunguka ni bora zaidi yao hivyo hukuchukulia kama underdog tu. Ukosoaji wote wa Lissu kwa Magufuli ni vile Lissu haamini kama Magufuli ni bora zaidi yake basi humuona tu kama underdog.

1. Usumbufu wa Lissu muulize mama Anna Makinda, atakupa feedback

2. Kikwete alimuelewa Lissu ni aina ya MTU gani na aliwahi kusema ni bora achaguliwe Slaa kuwa Rais lakini Lissu asiwe mbunge, kwa nini?

3. Hata waliompiga risasi ni dhahiri walimuelewa Lissu sema hawakujua njia sahihi ya kupambana nae.

4. Hata NEC sasa inamfuata

5. Angalia mahakama ana kesi sita zote zinamfuata.

6. Angalia hata CHADEMA Leo yote inamfuata anachopanga, bila Lissu unafikiri CHADEMA kingemwekea Magufuli pingamizi?

KOSA ALILOLIFANYA MAGUFULI.
Mpaka ninapoandika 7000hrs Magufuli ameshafanya kosa la kuruhusu usumbufu. Hebu niambie unafikiri majina ambayo yanamyima usingizi linaloongoza ni jina la nani?. Kuepuka huu usumbufu alipaswa kuhakikisha Lissu atoboi kwa tume, au zile mahakama zenye makesi yake yangetumika kumdhibiti. Amini maandishi yangu, kumuacha Lissu agombee kunainufaisha CHADEMA kwa kiwango kikubwa sana. Hata akinyimwa urais Lissu ataongeza idadi kubwa ya wabunge, Lissu ni kama mganga aliyeletwa kufufua wafu, wapiga kura wengi walikuwa sawa na wafu sasa wanapata hamasa ya uhai kutoka kwa Lissu.

OMBI KWA CHADEMA.
Kwa aina ya siasa ya uhuni zinazofanyika sasa hivi Lissu alipaswa kuwa mwenyekiti, MBOWE ukitaka CHADEMA ikabiliane na siasa za uharamia baada ya uchaguzi mkabidhi uwenyekiti Lissu wewe bakia mlezi wa chama

Bado nina imani tume na Rais, CCM mnanafasi ya kumdhibiti kupitia kampeni.
Ujinga na woga wa ccm kwa mtu mmoja tu Lissu. Hamjiamini na hamwezi bila dola. Wengi walioko ccm ni watu dhaifu sana wenye kupenda mdebwedo. Wapinzani ni wapiganaji. CDM hoyeee.
 
Kumdhibiti kwenye kampeni tusibiri kwanza, ngoja tuone ni kwa namna gani John atavuka mapingamizi aliyowekea. Atatumia Dola au Tume kuvuka?
Pressure inapanda, Pressure inashuka, patamu hapa!
Waliomsikiliza TL.pingamizi ni lipi?
 
sasa umpanikishe nan, uyo tutamamalizia sisi wenyewe wananchi, ngja si atakuja kufanya kampeni tutamuonyesha: ya juzi si aliponea halikumpata safari hii hatufanyi makosa tena
Polee mwana Lumumba, kunywa maji kalale tu. Huyo ndo Lissu kama Lissu 😂😂😂😂
 
sasa umpanikishe nan, uyo tutamamalizia sisi wenyewe wananchi, ngja si atakuja kufanya kampeni tutamuonyesha: ya juzi si aliponea halikumpata safari hii hatufanyi makosa tena
Aisee hivi mpo serious bado mnataka kumpopoa? Siasa ni hoja mbona kuna adhina ya watu CCM. Mkijibu maneno kwa bunduki ni uendawazimu na ukosefu wa uvumilivu.
 
Kumdhibiti kwenye kampeni tusibiri kwanza, ngoja tuone ni kwa namna gani John atavuka mapingamizi aliyowekea. Atatumia Dola au Tume kuvuka?
Pressure inapanda, Pressure inashuka, patamu hapa!
Nasubiria kuona jinsi John atakavyokuwa akimjibu Lisu watakapokuwa uso kwa uso.
 
Back
Top Bottom