Tundu Lissu ni almasi inayong'aa yenye kuleta matumaini kwa Watanzania

Nyasi-Man

Senior Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
171
Reaction score
351
Hakuna asiyemjua nguli huyu aliejipambanua kwa umahiri kwenye medani za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Tundu Lissu ni mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa utetezi wake wa demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria. Amekuwa Mbunge nchini Tanzania na amewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Lissu amepata umahiri wa kimataifa kutokana na ukosoaji wake usio na woga kwa serikali ya Tanzania, mara nyingi akikabiliwa na unyanyasaji na vitisho katika maisha yake. Alinusurika jaribio la mauaji mwaka 2017.

TL amejiwekea heshima kubwa sana ndani ya nchi na ni mtu muhimu katika siasa za Tanzania, akitetea mageuzi ya kidemokrasia na uhuru wa raia kiasi cha kuwa mwiba mkali kwa viongozi wabadhilifu waliojaa tamaa na ubinafsi uliokithiri na kuacha kundi kubwa la wananchi wakiteseka na umasikini uliopitiliza huku wachache wakifurahia cake ya taifa, amekuwa mzalendo wa kweli kwenye masuala yanayohusu rasilimali za nchi, haki za binadamu, ukweli na uwazi

Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025, Tundu Lissu amezidi kupata umaarufu mkubwa na uungwaji mkono na umma wa Watanzania kwa utetezi na uongozi wake wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania.

Licha ya propaganda nyingi mitandaoni zisizo na mantiki yeyote, kuna kila kiashiria almasi hii inazidi kuwafumbua macho raia wengi wanaoburuzwa na kuishi kama watumwa ndani ya nchi iliojaa maziwa na asali, kuwa inawezekana kubadilisha hali walizonazo endapo wataamua licha ya ugumu uliopo kwenye mifumo ya chaguzi.

Screenshot 2024-05-21 115142.png
 
Lisu anapendwa na kukubalika na watanzania. Lkn tatizo ni katiba na tume ya uchaguzi.

Bila haya mambo mawili kurekebishwa, Lisu ataendelea kusherehesha majukwaa.
 
Upinzani ukiongelewa ni mabwenyenye wa magharibi ila wakitoa misaada ya neti ni kwa hisani ya watu wa marekani 😁😁😁😁.
Mwehu huyo.Tumejisahau kumuachia simu.Alitudanganya anawasalimu watoto wake tu ndiyo tukamuamini.Kumbe,ana MB.Ametuaibisha sana.Tunamshughulikia kwa kumpiga fluphenazine deconoates si muda.Tuamini.
 
N
Hakuna asiyemjua nguli huyu aliejipambanua kwa umahiri kwenye medani za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Tundu Lissu ni mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa utetezi wake wa demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria. Amekuwa Mbunge nchini Tanzania na amewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Lissu amepata umahiri wa kimataifa kutokana na ukosoaji wake usio na woga kwa serikali ya Tanzania, mara nyingi akikabiliwa na unyanyasaji na vitisho katika maisha yake. Alinusurika jaribio la mauaji mwaka 2017.

TL amejiwekea heshima kubwa sana ndani ya nchi na ni mtu muhimu katika siasa za Tanzania, akitetea mageuzi ya kidemokrasia na uhuru wa raia kiasi cha kuwa mwiba mkali kwa viongozi wabadhilifu waliojaa tamaa na ubinafsi uliokithiri na kuacha kundi kubwa la wananchi wakiteseka na umasikini uliopitiliza huku wachache wakifurahia cake ya taifa, amekuwa mzalendo wa kweli kwenye masuala yanayohusu rasilimali za nchi, haki za binadamu, ukweli na uwazi

Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025, Tundu Lissu amezidi kupata umaarufu mkubwa na uungwaji mkono na umma wa Watanzania kwa utetezi na uongozi wake wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania.

Licha ya propaganda nyingi mitandaoni zisizo na mantiki yeyote, kuna kila kiashiria almasi hii inazidi kuwafumbua macho raia wengi wanaoburuzwa na kuishi kama watumwa ndani ya nchi iliojaa maziwa na asali, kuwa inawezekana kubadilisha hali walizonazo endapo wataamua licha ya ugumu uliopo kwenye mifumo ya chaguzi.

View attachment 2995853n

View attachment 2995853
Nakuunga mkono
 
Back
Top Bottom